jambo Dunia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2026
- 283
- 782
Mchochezi kwenye 1&2 ipo siku ntawabless kila mmoja hapa jukwaani😎View attachment 3660825
Si ndio unarelease kwa amani😅Just imagine hapo kwa picture nakojoa kwenye ziwa😀
🥴🥴🥴 kazi ya wapi hii mkuu
Chugaa aloo uku migombanii🥴🥴🥴 kazi ya wapi hii mkuu
aisee 🙌🙌🙌🙌Chugaa aloo uku migombanii
mkuu nipo huku watu wengi hawaamini katika juhudi ili ufanikiwe bali wanaamin katika ushirikina, kutoa kafara n.k ndo ufanikiwe xax mkuu kufanikiwa kwenye mazingira haya ni ngumu sanKama huna imani utasubiri sana ku successed mkuu!
Kweli mkuu, hasa machimboni hatari sana mkuu...mkuu nipo huku watu wengi hawaamini katika juhudi ili ufanikiwe bali wanaamin katika ushirikina, kutoa kafara n.k ndo ufanikiwe xax mkuu kufanikiwa kwenye mazingira haya ni ngumu san
Hapo ndio MsingiMtego uko hapo kwenye ukosefu wa fikra sahihi