Umasikini ni ukosefu wa fikra sahihi

Umasikini ni ukosefu wa fikra sahihi

Sahihi Sana,
Lakini Fikra sahihi pia pasipo uwajibikaji ni propaganda

Kuna Vitu unaweza ukawa una huelewa navyo Vizuri Lakini kushindwa kuchukua hatua kuka kukakufanya usiendelee na kuwa maskini.
Mtego uko hapo kwenye ukosefu wa fikra sahihi
 
Ndege nimempa likizo sasa hivi niko na huyu😎
Sikubaliii nasubiri zamu yangu, haiwezekanii na nimepata wivu
yinmu-sneering.gif
 
Hayawi hayawi sasa yamekuaa 🤣 twende kazi jembe wanalainikaga Hawa siku 1 tu unakuta kaamka hormone ziko juu mara kaku bless wewee

Sijui tanesco walijuaje kama leo nauaa (kwa sauti ya Mh Temba)
Mchochezi kwenye 1&2 ipo siku ntawabless kila mmoja hapa jukwaani😎
E1B2F58F-D754-4C29-A810-ADECEC586D4C.jpeg
 
Back
Top Bottom