Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,140
Reaction score
1,723
Kuna uhusiano mkubwa kati ya jamii zinazovaa vazi la kijora na umasikini ambao unaweza kuushika kwa mkono.

Jamii hizi zinaendekeza sherehe (shughuli) kuliko shughuli za kujitafutia kipato. Ndani ya mwezi mtu anaweza kuhudhuria sherehe zaidi ya tano na kote inabidi atunze (zawadi).

Wanajisitiri lakini ni wanagawa urojo kirahisi sana.

images (9).jpeg

​
 
😁😁

Hapa uaenda kugombana ba wavaa mashuka wa JF haya ndio mavazi ya wake zao.

Anyway,

hakuna correlation yoyote ya hili vazi na umasikini

Its a cultural thing, a woman thing na kwa sababu wengi wetu ni masikini so wengi wakivaa hii kwa upande wako inaonekana chapa ya umasikini😆
 
Ila ukiwaangalia kwa namna tofauti ni watu ambao huwa wanafuraha.....hawana komplikesheni kabisa.

Mtu anakua zake na hela ya unga robo, miguu ya kuku na kachumbali, siku imeisha.

Kodi hawazi anakaa nyumba ya wazazi na mme anaemuoa (kama yupo) nae anahamia nyumba hiyo hiyo. Kama hana mme anazaa watoto wa baba mbali mbali akiwa hapo kwao.

Anacheza mchezo wa buku mbilimbili ili apate hela za kijora na mkorogo. Alhamisi, ijumaa, jmosi, jpili ni kuhave fun Ngoma kwa kwenda mbele.....
 
Huyu hata ukimhonga elfu 7 na mia 5 atakuona bonge la bwana

Halafu ukitaka umteke kabisa mkopee simu ya mkopo uwe una mlipia kila siku mia 7
 
Back
Top Bottom