Umaarufu wa CHADEMA washuka

Umaarufu wa CHADEMA washuka

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki
 
Masikini akipata ------ hulia ............................
 
Unaoongea kama mwendawazimu, maana uwezi kusema CHADEMA imeshuka umaarufu bila kuwa na research to justify your arguments. Ni mwendelezo wa ukichaa huu. Nenda kadeki barabara huko.
 
Hivi hamna kazi nyingine za kufanya!! Kila dakika CHADEMA, CHADEMA...Buku ngapi umehaidiwa, 5k,7k....
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 chadema kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

Masikini akipata ------ hulia ............................
Endelea mkuu hata Dudubaya wakati ananza mziki aliwahi kuwatumbuiza watu watano tu ukimbini!.

Usijali singo ya ko kukosa umaarufu!.
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 chadema kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

justify.
 
Sio lazima kila unachokiwaza hata kama ni cha kipumbavu ni kukiwasilisha hapa JF, ni vizuri kama wewe ni GT kuwa na tafakuri ambayo utakachokiwasilisha ni vizuri ukakifanyia upembuzi yakinifu na kugundua kama kitafaa, kwa hiki ulichokiandika hakitasaidia kuijenga CCM inayoporomoka ni bora ukajikita zaidi kuikosoa CCM ili iweze kujirekebisha ilipojikwaa kuliko kuendelea kuandika vitu ambavyo havina kichwa wala miguu.
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki
Karibu sana Mkuu katika kundi la vijana wapya wa Lumumba na tumekupitisha, mwezi huu utaanza kupata mshahara wako ingawa nadhani posho unazopata zinatosha, ila zingatia maagizo tuliyokupa, nadhani unanikumbuka, nilikuwa wa mwisho kukupa maagizo kabla hujatoka pale. Katika yote angaliaa usiwe msemaji wa CHADEMA, kumbuka hata kusema mabaya yao ni kuwapa umaarufu kama vile kuzuia maandamano yao, kumbe angalia unaandika nini , unapoweka makala zaidi ya moja juu ya CHADEMA, unawapa umaarufu maana wengi watasoma na kuona zipi ni pumba. Kumbuka kuandika juu ya tuliyekutuma kuliko hao ambao hawajakutuma, ajira yako ni kutetea chama na si kuponda upinzani.
 
:whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle:

Hizi ajira pasi na usaili tabu sana.......anyway at the end of the day you get paid....sadly ni ruzuku money!
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

Sipingani na fikra zako kama umefanya utafiti,lakini imarisheni ccm kifikra na kiutendaji ili kikubalike kwa wananchi
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

Mkuu nimesoma majibu ya CHADEMA na vijana wake katika uzi huu.
Wana mapenzi na chama chao, lakini uhalisia ni kama ulivyoandika.
Hata wakiona bomu , likiwa na rangi za CHADEMA watasema chungwa!!!
 
Ukiona wanatoa matusi basi jua msumari umegonga mahala pake
 
Iliyopoteza umaarufu ni nyinyiem wewe si Chadema fanya research kabla ya kupost matope yako.
 
Back
Top Bottom