Umaarufu wa CHADEMA washuka

Umaarufu wa CHADEMA washuka

atakuwa mwigulu savimbi mchemba huyu poleeeeeeeeeeeeeeeeeee,
ni mmoja ya wale wanaofikiria kwa kutumia matumbo rip ccm
Iliyopoteza umaarufu ni nyinyiem wewe si Chadema fanya research kabla ya kupost matope yako.
 
huu ni ukweli chadema inakaribia kuwa mfu. viongozi wake ni udhaifu katika kuiendesha chadema kama taasisi lakini mbaya zaidi wamekuwa wakikosa busara kila mara kwa kukosa lugha nzuri. upinzani bungeni umekuwa vichekesho kabisa. wameshindwa kumliza Mizengwe aliyepinda hata pale alipovunja wazi wazi katiba aliyoiahidi kuilinda. wote mnakumbuka Mizengwe iliyopinda alivyoililia nafasi yake bungeni baada ya kubanwa na upinzani makini lakini sio huu wa vurugu wa chadema. shame upon chadema

Kama inakaribia kuwa mfu mbona mnahaha kuwateka nyara, kuwatungia Sheria na kanuni za kikangaroo, kuwabambikia kesi, kuwang'oa kucha na kuwaua kwa kuwalipua kwenye mikutano yao mkiwatumia Polisi na Usalama wa Taifa? Shame on you!!!
 
Hebu ona huyu mzushi anavyojichanganya eti "hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao" kumbe umaarufu bado wanao!!!!!!!!!!Mtachanganyikiwa sana this time but the truth is, CHADEMA will never fail with all your stupid tactics.
 
Back
Top Bottom