Umaarufu wa CHADEMA washuka

Umaarufu wa CHADEMA washuka

Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki
kweli akili huna,yaani huwezi kukaa hatakidogo mezani na kufanya utafiti
 
assadsyria3;

Hukujiita jina hilo kwa bahati mbaya!

Sounds like Magamba at work:Mwigulu Nchemba,Nnepi Nauye, Wassira,Pinda wa Ku-Piga,Lukuvi na Mwampamba.

Kila mpenda haki duniani anajua kile anachokifanya Rais na Dikteta Assad wa Syria-Kuua wapinzani kwa mabomu na sumu. Ni roho ileile ya Chama Cha Mauaji-CCM. Tunajua CCM mmeanza kwa mabomu huko NYOLOLO-Iringa,OLASITI na SOWETO huko Arusha na Watanzania tusipokuwa makini mnatupeleka hukhuko kwenye kutumia SUMU ili muendelee kubaki madarakani.

Lakini iko siku mtaondoka tu hata iweje! Wako wapi kina Arap Moi,wapi Iddi Amin Dada, wapi Saadamu Hussein,wapi Ghadafy, wapi Ben Alli, wapi Hitler na madikteta wote wa Dunia waliopita? Hawapo, wametoweka kwa kuondolewa madarakani na nguvu ya umma na wengine kwa nguvu ya Mungu.

Just be patient, a day is coming ndipo mtakapolia na kusaga meno.------- zenu.
 
Chadema kinaishi kwa kunyonya damu ya wananchi maskini wanaokufa kwenye mikutano yao. Matokeo ya vurugu na ubabe
 
Kwan kat ya ccm na Chadema ni chama gan kinapofanya mkutano wa hadhara huenda kuwabeba watu na mafuso vijijin ili mkutano uwe na watu wengi?
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

Buku saba imeshaingia hapo tayari....
 
Unaoongea kama mwendawazimu, maana uwezi kusema CHADEMA imeshuka umaarufu bila kuwa na research to justify your arguments. Ni mwendelezo wa ukichaa huu. Nenda kadeki barabara huko.

Kaka msamehe, hajui anachozungumza. Inawezekana ni mapepo ndio yamemsukuma kuandika hicho alichoandika hapo juu. Ni mapepo ndio yanamsumbua. Anahitaji kuombewa. Msamehe.

Kuna mapepo basi..!? ni njaa imepanda kichwani...!!?
 
Mbio zote kumbe unatafuta pakutagia.........!!!!!!!!!!!!!1
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

no research no right to speak
 
Kama CHADEMA imeshuka umaarufu....basi CCM imejongezea UPUMBAVU na UJINGA!
 
Wanachama na viongozi wa chadema wanatamani ujio huu wa Obama ungekuja wakati rais wa nchi angekuwa Dr(wa kanisani) Slaa.Lakini masikini hilo halikuwezekana wananchi waliona mbali,wakakikataa chama cha maandamana na fujo.Leo tunaenjoy ugeni mkubwa wa nchi huku nchi ikiwa imetulia tuli kabisa.

Nimekubali kikwete anaushawishi,mpaka viongozi wa dunia kaweza kuwashawishi!,ama kweli hiki ni kichwa.Pamoja na harakati za Mabomu ili kuharibu sifa ya Tanzania lakini haikuweza kufua dafu.
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

Uchaguzi wa Madiwani Juzi
CCM Walipoteza Viti Vingapi na CDM walipata Viti Vingapi ???
 
chadema wanania nzur bt waangalie wa2 wanaoingizwa kwenye chaguz zao, la cvyo kitaonekana chama cha wauni km baadhi ya wa2 wanavyosema
 
Mkuu pole kwa maumivu yanayokupata, pia kwa nini mnapenda kutumia kinyume mnapotoa mada zenu? Naungana nawe kweli CCM imeishiwa ndo maana wanapiga danadana uchaguzi wa Arusha wanaogopa fedheha. Salamu zao
 
Back
Top Bottom