Umaarufu wa CHADEMA washuka

Umaarufu wa CHADEMA washuka

Mkuu nashukuru sana kwa kutufahamsha kuwa umaarufu wa chadema umeshuka kwa wananchi wa ukoo wenu. Naomba pia umfahamshe na Pinda mpiga watu, atafurah na ataupongeza sana ukoo wenu.
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

Hujataka kusema kuwa baada ya kusingiziwa yote uliyoyataja wananchi wamezidi kujenga imani na CDM hivyo umaarufu wake kuongezeka
 
Hivi nyie mbumbumbu,nani? Aliyewaloga kuwa cdm haiwezi kusemwa vibaya? Maana kila post inayojaribu kusema vibaya cdm mnaishambulia,hamuwezi kujenga chama kizuri kama hampotayari kusikia mapungufu yenu hamtaweza kusonga.ndiyo maana ninatamani sana cdm ichukue 2015 tuone kama hatutaandamana baada ya miezi 6 kuwatoa ikulwa.ushabiki utaangamiza taifa
 
Unaoongea kama mwendawazimu, maana uwezi kusema CHADEMA imeshuka umaarufu bila kuwa na research to justify your arguments. Ni mwendelezo wa ukichaa huu. Nenda kadeki barabara huko.

Umaarufu wa chadema unashuka huku chadema hiyo ikinyakuwa kata za ccm kwenye uchaguzi waa udiwani! Nadharia ya kipinda kabisa hii!
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

Unafikiria thru K?
 
Umaarufu wa chadema ungekuwa unashuka mwigulu nchemba kwa kushirikiana na nape wasingeagiza shehena ya nguo za m4c toka china kwaajili ya kuja kufanyia fujo .... Mtahangaika sana ila kila mlifanyalo lazima chadema waligundue! Tunajua hamli mkashiba ajili ya chadema!!

Peoplez Power forever!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hatutaki umaarufu bali utekelezaji wa sera. Miaka 50 yakumsafishia Obama barabara huo ni umaskini wa fikra. Minafkiri niwakati wa kujaribu chama ambacho hakina umaarufu.
 
Hivi nyie mbumbumbu,nani? Aliyewaloga kuwa cdm haiwezi kusemwa vibaya? Maana kila post inayojaribu kusema vibaya cdm mnaishambulia,hamuwezi kujenga chama kizuri kama hampotayari kusikia mapungufu yenu hamtaweza kusonga.ndiyo maana ninatamani sana cdm ichukue 2015 tuone kama hatutaandamana baada ya miezi 6 kuwatoa ikulwa.ushabiki utaangamiza taifa

Mbumbumbu ni wewe tena zumbukuku mkubwa usiyejitambua.... Kilaza wewe na huyo mleta mada.... Kama umeona alichoandika mleta uzi kina maana kichukue ukaimarishe chama chenu, chadema iacheni ife.... Pilipili msiyoila yawawashia nini? Vilaza nyie!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
​thank you!!!!!

mbumbumbu ni wewe tena zumbukuku mkubwa usiyejitambua.... Kilaza wewe na huyo mleta mada.... Kama umeona alichoandika mleta uzi kina maana kichukue ukaimarishe chama chenu, chadema iacheni ife.... Pilipili msiyoila yawawashia nini? Vilaza nyie!
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

duuhu .we mweupee kama mwali vile kutoka kijiji .alieolewe mjini na kwa mara ya kwanza nae anaongea kama nae wa mjini. Jogoo wa shamba awiki mjini .its easy to brought a man from a bush .but its not easy to brought a bush from the man.
 
Mbumbumbu ni wewe tena zumbukuku mkubwa usiyejitambua.... Kilaza wewe na huyo mleta mada.... Kama umeona alichoandika mleta uzi kina maana kichukue ukaimarishe chama chenu, chadema iacheni ife.... Pilipili msiyoila yawawashia nini? Vilaza nyie!

mkuu umenimalza kinyama yan mbavu zangu jamen ha ha ha ha ha umemjibu vzur huyo juha.
 
ujinga huu unaouandika ndo chanzo cha matesa na mauaji ya raia wasio na hatia kwakufikiri mkifanya uharamia watu wataichukia CDM. U A VERY WRONG MAGAMBA
Kablaya uchaguzi wa
2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno
bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza
visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge,
maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge
wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu
wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa
mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu
mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika
taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama
hiki
 
Unaoongea kama mwendawazimu, maana uwezi kusema CHADEMA imeshuka umaarufu bila kuwa na research to justify your arguments. Ni mwendelezo wa ukichaa huu. Nenda kadeki barabara huko.
kala viroba
 
mwampamba na juliana waliahidiwa milion 3o wamepewa mil 5 now mapovu yanawatoka msicheze na CCM
 
tofaut kati ya -------- na mwerevu..Wapumbavu pia wana haki kusema wanachojua,lakini waerevu wanadadisi kabla ya kusema
 
ujinga huu unaouandika ndo chanzo cha matesa na mauaji ya raia wasio na hatia kwakufikiri mkifanya uharamia watu wataichukia CDM. U A VERY WRONG MAGAMBA

Wajinga sana Bob G, Sahivi nasikia akina nchemba wameagiza shehena ya nguo za m4c, anajua mwenyewe ni za nini manake sie twamjua yeye ni mwana ccm, sasa shehena ya nguo za m4c khaaa!! Tutashuhudia mengi kwenye hii nchi ila naamini iko siku tutafika! Wanatuchelewesha tu ila kutuzuia hawataweza kamwe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom