mommythebest
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 516
- 617
Acha roho mbaya. Mchawi anamjua mchawi mwenzie.. Wee mwenyewe lazma utakuwa mlozi. Utukome wanyakyusaHawapendagi maendeleo ya wengine hiyo ni asili yao wala usingefunga baada ya muda wangezoea tu,yaani hata ukioa mnyakyusa ujue atakuwangia tu.
mbeya kuna maustaadhi wengi kuliko mikoa mingine hadi ukute maneno ya kiarabu kaka? we sema wafanyabiashara wa bima wenzio walikuwa wanakuendea kwa maustaadh regardless of which mkoa.wanyakyusa sio washirikina kama unavyofikiri, hata yale maduka mbeya uyaonayo mengi sio ya wanyakyusa, ni wakiinga na wabena, na wandali, hao ndio wanaoongoza kwa uchawi na kuweka ndondocha watoto wao.Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Mchawi anamjua mchawi mwenzie. Wee mwenyewe lazma mchawi. Na lazma sura lako baya kama ngozi ya goti. Mtukome wanyakyusalakini Mbeya kumezidi aisee ushirikina nje nje watu wa mbeya wana roho mbaya kama sura zao.
Wewe ni mwanamanyafu niniPale mwanjelwa wamejaa wakinga hao ndo wana mambo hayo waombe radhi wanyaki
Nenda huko kyela au Tukuyu huko kuna kitu wanaita ndyeki ni shidaambeya kuna maustaadhi wengi kuliko mikoa mingine hadi ukute maneno ya kiarabu kaka? we sema wafanyabiashara wa bima wenzio walikuwa wanakuendea kwa maustaadh regardless of which mkoa.wanyakyusa sio washirikina kama unavyofikiri, hata yale maduka mbeya uyaonayo mengi sio ya wanyakyusa, ni wakiinga na wabena, na wandali, hao ndio wanaoongoza kwa uchawi na kuweka ndondocha watoto wao.
Itakuwa ulizidiwa nguvu ww.......KILA SEHEMU UKIBEEP WANAKUPIGIA. Jitahidi usiwachezee wa singida afu ukarudi tena humu jamvini kujuta kuzaliwanimefungulia Singida maisha yanaenda kama kawa...Mbeya sitakaa nikanyage tena mijitu mibinafsi imejaa roho mbaya kama mashetani
1.Sasa mbona umeshajijibu mwenyewe, kwamba ni maneno ya kiarabu sasa mnyakyusa na uarabuni ana mahusiano gani. Kama ulikuta ya kinyakyusa hapo sawa sasa origin ya uarabu ni mbeya kwani?
2. Mbona mnapenda kudhalilisha uislamu au uarabu sana? Kwanini kila neno la uchawi mnahisi kuwa ni la kiarabu? Unamaanisha kuwa hata ukiona kitabu kitakatifu cha Quran utasema uchawi au? Mimi binafsi sijakuelewa.
3. Nakushauri fuatilia kwenye ukoo wako lazima kuna tatizo na siyo kusingizia mbeya
Dahhh......!!!!!Mie nilidhani Nyanda za Juu Kusini mkoa wenye wachawi wa wazi ni Njombe kwa kuwa nina ushahidi wa watu waliologwa hadharani. mfano wa kwanza kuna ndugu yangu anafanya kazi huko Njombe, Lupembe, Havanga, Kidegembiye aliamua kufuga nguruwe, nguruwe wake mmoja akawa na mimba, akapita bibi akamwambia maneno haya "hivi unatarajia kupata vitoto vya nguruwe eee, nakwambia hiyo sahau" na kweli siku nguruwe ana zaa akawa anatoa placenta a.k.a kondo la nyuma tuu hakuna kitoto hata kimoja!
Mfano wa pili ni yule binti Bernadetha Msigwa aliyepata upofu akiwa anasoma Mzumbe mwaka wa tatu na JPM akachangia 10,000,000 baada ya kusikia habari zake Clouds, yule binti baba yake ni mwalimu mkuu wa shule ya msingi, alikuwa hana mkopo wa masomo, majirani walisema hadharani kuwa tutaona kama kweli atamaliza hiyo chuo kikuu yake, na kweli Berna amekuwa kipofu hadi leo
mwanjelwa to mbalaliUsisahau kuna Wanyakyusa wenye Asili ya Kibulushi mkuu....Kama yule jamaa wa Mbarali.
Njombe na Mbeya hakuna tofauti, wote ni wale waleMie nilidhani Nyanda za Juu Kusini mkoa wenye wachawi wa wazi ni Njombe kwa kuwa nina ushahidi wa watu waliologwa hadharani. mfano wa kwanza kuna ndugu yangu anafanya kazi huko Njombe, Lupembe, Havanga, Kidegembiye aliamua kufuga nguruwe, nguruwe wake mmoja akawa na mimba, akapita bibi akamwambia maneno haya "hivi unatarajia kupata vitoto vya nguruwe eee, nakwambia hiyo sahau" na kweli siku nguruwe ana zaa akawa anatoa placenta a.k.a kondo la nyuma tuu hakuna kitoto hata kimoja!
Mfano wa pili ni yule binti Bernadetha Msigwa aliyepata upofu akiwa anasoma Mzumbe mwaka wa tatu na JPM akachangia 10,000,000 baada ya kusikia habari zake Clouds, yule binti baba yake ni mwalimu mkuu wa shule ya msingi, alikuwa hana mkopo wa masomo, majirani walisema hadharani kuwa tutaona kama kweli atamaliza hiyo chuo kikuu yake, na kweli Berna amekuwa kipofu hadi leo
mpe somo huyu mgenUsikariri...wafanyabiashara wengi hapo mjini sio wanyakyusa ni wakinga..na hao ndio wenye hayo mandumbwendumwe
factWafanya biashara wengi mbeya mjini sio wanyakyusa....BTW: hamna sehemu inayokosa mambo hayo