Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
Umejuaje kuwa unarogwa na Wanyakyusa na sio kabila lingine? Mbeya kuna wasafwa, wandali, wamalila, na makabila Mengi mnginewe kwanini useme Wanyakyusa?Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Mmh huko ulikokutaja hapana kwakweliiwe angalia tu mikoa ya kusini watu wana sura mbaya roho zao mbaya sana....nenda arusha na moshi wana sura zuri na roho zao nzuri
1.Sasa mbona umeshajijibu mwenyewe, kwamba ni maneno ya kiarabu sasa mnyakyusa na uarabuni ana mahusiano gani. Kama ulikuta ya kinyakyusa hapo sawa sasa origin ya uarabu ni mbeya kwani?Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Mbeya kumezidi uchawi sana huwezi fanya biashara bila kuwa mshirikina....Nilikuwa na duka Kabwe nikalifunga kwa ajili ya ushirikina wa wanyakyusa
mtangulize mungu kwa kila jamboNimetembelea mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Kagera (yote), Morogoro, Dar es salaam, Pwani, Rukwa, Katavi, Mbeya (Nyumbani) na Shinyanga. Ila hakuna mikoa yenye uchawi na ushirikina wa wazi kama DAR ES SALAAM NA pwani.
Ingawa kila sehemu uchawi upo ila Mikoa ya Pwani ni wamezidi.
Acha uongo wwWanyaki bila kualika/kuwakaribisha wawekezaji nje ya meya huo mji utabaki kuwa magofu na mbavu za mbwa kama ulivyo sasa! Badilikeni.
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Kaamua kutuchafua tu uyuahaaaa waarabu wa pemba hujuana kwa vremba viva home sweet mbeya rudi dar ukafanye hzo ma buziness yak hapa utalia sana ata ukiuza rambo lazima tukupime....
Ungekuwa unalala hapo umejificha,wakija kufanya ndumbaz unawatia mikwaju ya maana...