kwanza niwape hongera kwa kupangiwa moja ya shule ngumu na ya zaman tanganyika,umbwe boyz a.k.a MTI SAFI kwa historia fup ni shule iliyojengwa na wamisionary wa katoliki miaka hiyo kabla ya uhuru, ikabinafishwa na serikali na sasa ni ya government,LOCATION, shule iko mkoa wa kilimanjaro mosh vijijini, nauli ni elfu moja kutoka mosh town unashukia kituo kinaitwa kwalafaeli, hapo ukiuliza tu umbwe boyz unaelekezwa, kwa mguu panaendeka but kama una mizigo ni vyema uchukue boda boda,MAZINGIRA ni mazuri sana koz tuko chini ya mlima mrefu africa kilimanjaro, na kuna ukijani thru out the year, ko kwa mtu anayejielewa ni pazuri kwa kujisomea, upande wa walimu kama kawaida ya shule za government hawapo wa kutosha but ushirikiano wa wanafunzi ndo unatupa matokeo mazuri, competitor wetu wakubwa kiacademic ni weruweru girls na shule friend ni machame girls, pia pale pana starehe ya kila aina ko onyo ukifika jiangalie xanaa 2, mimi niko pale now kidato cha sita, YOUR WELCOME.