Uliza Swali lolote kuhusu Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania)

chaliko

Senior Member
Apr 1, 2019
180
802
Habari Ndugu zangu?

Nipo Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania) kwa miezi kadhaa sasa.

Kama una Swali lolote kuhusu Dodoma, unaweza kuniuliza.

Nipo tayari kujibu Maswali yenu.
 
Habari Ndugu zangu?

Nipo Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania) kwa miezi kadhaa sasa.

Kama una Swali lolote kuhusu Dodoma, unaweza kuniuliza.

Nipo tayari kujibu Maswali yenu.



MODS naomba marekebisho kwenye Heading badala ya "Ulicho" iwe "Uliza"
Nzogole pakoje mkuu?,Kunafaa kujenga nini?
 
Kwa nini wagogo hawapandi miti hadi kuifanya dodoma kuwa jangwa na mlitumia ushawishi gani kuifanya serikali ihamishie makao yake makuu jangwani.
 
Mkoa wa Dodoma una makabila mangapi?
Wagogo wa Dodoma watani zao ni makabila yapi?
 
Mkoa wa Dodoma una makabila mangapi?
Wagogo wa Dodoma watani zao ni makabila yapi?
Wagogo- hawa mliowazoea wapo wilaya za chamwino, bahi kongwa na baadhi ya sehemu za wilaya ya mpwapwa

Warangi- wapo kondoa na chemba

Wahehe- hawa wapo maeneo ya kusini ya mpwapwa . Mpakani na iringa

Watiriko- mpwapwa jimboni kibakwe kwa simbachawene

Wakagulu- wako maeneo ya kongwa

Wasandawe- wako maeneo ya chemba

Waburuge- hawa wapo kondoa na chemba.. ndugu zake jumaa nkamia( hawa huwezi watofautisha na warangi)


Hayo ndiyo makabila wenyeji wa dodoma

Una swali lingine??
 
Miezi kadhaa ushakuwa mwenyeji kuliko waliozaliwa hapo brother? Aise hongera kwa kuwa fast learner.
 
Back
Top Bottom