Uliza Swali lolote kuhusu Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania)

Kwa nini dodoma pamepoa daladala mwisho saa mbili na zinaanza kazi saa kumi na moja na nusu.
 
Ni katikati ya Nchi!ili iwe karibu kwa mikoa yote kufikika pia ni sehemu ya kufanya tupande miti kuondoa jangwa,maana tukiwa wengi tupeana mawazo mbadala.
 
Back
Top Bottom