kwa nn wewe umeanzisha mada kama hii wakati mimi nilishaianzisha na nikajibu maswali yote ambayo hayakuwahi kujibiwa?Natoa ofa kwa mtu yeyote yule kuniuliza swali lolote lile ambalo jibu lake halijaandikwa, halijachorwa au kujibiwa mahali popote pale nami nitamjibu kwa ufasaha uliotukuka. Offer kama hizi ni mara chache sana huwa nazitoa.
Mfano wa swali ambalo unaweza kuuliza (ambalo jibu lake halijaandikwa, halijachorwa au kujibiwa mahali popote pale) ni;
1. Kwa nini vidole vya binadamu havilingani urefu?
2. Kwa nini kiganja cha mkono wa binadamu kina mistari?
Angalizo;
Usiulize swali nilolitoa hapo juu kama mfano
Kwanini uume husimama dede
Mimi nipo wapi sasa hivi?
Kwanini uume husimama dede
swali ni nini?
Kwangu ni jipya mkuu nijibu tafadhari, nimeangalia kwenye dictionary sijaona jibu lakehilo lishajibiwa kwenye kamusi ya kiswahili
Kwangu ni jipya mkuu nijibu tafadhari, nimeangalia kwenye dictionary sijaona jibu lake
Kipi kilianza kati ya kuku na yai?
kwa nn wewe umeanzisha mada kama hii wakati mimi nilishaianzisha na nikajibu maswali yote ambayo hayakuwahi kujibiwa?
umekosea angalia kwenye KAMUSI.
Ok Kitabu cha Salman Rushdie ''Aya za Shetani'' kina ukweli au uongo? kama ndio elezea na kama uongo elezeahilo lishajibiwa kwenye vitabu vya biology
Ok Kitabu cha Salman Rushdie ''Aya za Shetani'' kina ukweli au uongo? kama ndio elezea na kama uongo elezea
kwa nini niyapitie haya?