Uliza chochote kuhusu wakurya.

ni kweli mkuu. mungurimi hakubali kuwa yeye ni mkurya. matamshi hayafanani kabisa

kwa mfano,

'' mimi ni mungulimi'
' eni nomongoleme neni; but mkurya atasema, ' uni nomokolinde nde' (nadhani nimepatia kwa upande wakurya. correction if needed)

wakurya tunasema 'uni numkurya nde ' umukiira
 
Hatuna koo ya wasimbete Bali tuna kabila ambalo ni jamii ya wakurya wanaitwa wasimbiti wako maeneo ya kinesi
 
Hatuna koo ya wasimbete Bali tuna kabila ambalo ni jamii ya wakurya wanaitwa wasimbiti wako maeneo ya kinesi

Wasimbiti ni wakurya japo mna jibagua tu kwani lugha ni ille ile ni matamushi tu tofauti pia majina ni yale yale hakuna sababu ya msingi kukataa kuwa sio wakurya. . . ni bora msuba, mtegi akatae sio mkurya lakini msimbiti, mkweroba, msweta wote ni jamii ya kurya
 
Na waikizu na wazanaki unawaweka kundi gani

kabla ya enzi ya Baba wa Taifa (Nyerere) wote wliitwa koo za wakurya, Nyerere aliposema yeye ni Mzanaki basi tangia hapo pakawepo na kabila la wazanaki na waikizu n.k. kweli kwa matamshi wako kdg mbali na wakurya kwa kulinganisha na hizo koo za kikurya zingine (wakiira,watimbalu,wairegi,wanyabhasi,waasi,warenchoka,wamera,waanchari,wakenye,wanyamongo,wasweta,watobori,wasimbiti,wakeroba)
 
Sijabagua nlikusahihisha mkuu Anglia vizuri utaona ulipokosea
 
ni kweli mkuu. mungurimi hakubali kuwa yeye ni mkurya. matamshi hayafanani kabisa

kwa mfano,

'' mimi ni mungulimi'
' eni nomongoleme neni; but mkurya atasema, ' uni nomokolinde nde' (nadhani nimepatia kwa upande wakurya. correction if needed)

Kweli kabisa, katika vitu ambavyo Wangoreme hawapendi ni kuitwa Wakurya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…