Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Hizo ni sub - tribes na sio clan/ koo
Abairegi, abatimbalu, abanyabasi, abakira, abangorimi, abakenye, abasimbiti. Nk Sub tribes zipo nyingi
Wakuria kujuana koo ni ngumu sana sababu majina yanafanana sana tofauti na wanyakyusa au wachagga ukisikia mwambungu unajua mnyaki wa rungwe sio wa wakurya Mwita ni jina la first born ila sometimes Mwita inatumika kama Sirname
mwanamke akisafiri kwenda sehemu kwa miezi mitatu au zaidi,akirudi anamkuta mme wake kaoa?
Kama una suala lolote kuhusu wakurya hasa mapenzi, na maisha mengine kwa ujumla uliza ujibiwe hapa.
cc DEMBA.
Nasikia mtoto Wa kiume shurti wazazi wako wakuolee Mke kule kwa village ata kama utaoa your choice yeye atabaki kwa wazazi wako na kwamba hiyo ni mila kama jando?
eti nasikia wakurya ni malimbukeni saana yaan wakifanikiwa ni watu wa show off fulan iv.
eti nasikia wakurya ni malimbukeni saana yaan wakifanikiwa ni watu wa show off fulan iv.
Hebu toa mfano kwanza! Show off inaweza fanywa na mtu yeyote yule!
majigambo fulani ivi.......
yaan akiwa sehemu lazima ujue na kujionyesha ana hela, utasikia fanyeni tuu kitu fulani nitalipia au kwenye ishuuz zozote zile atasema any deficity nitaicover ivyo yaan .....upo?
Nasikia mtoto Wa kiume shurti wazazi wako wakuolee Mke kule kwa village ata kama utaoa your choice yeye atabaki kwa wazazi wako na kwamba hiyo ni mila kama jando?
Natafuta totoz nyeusi nyenye hips kisela ya kikuryaa...naskia ni watiifu sana....
kwanin wanpend kuwapiga wake zaoo et asipokupg it means hakupnd
Kama una suala lolote kuhusu wakurya hasa mapenzi, na maisha mengine kwa ujumla uliza ujibiwe hapa.
cc DEMBA.
Nimecikia jinsia yenu ya me inapenda sana umbeya,, je ni kweli?