M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,852 Dec 7, 2013 #1 Kama una suala lolote kuhusu wakurya hasa mapenzi, na maisha mengine kwa ujumla uliza ujibiwe hapa. cc DEMBA. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kama una suala lolote kuhusu wakurya hasa mapenzi, na maisha mengine kwa ujumla uliza ujibiwe hapa. cc DEMBA.
V Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,007 Reaction score 60,104 Dec 7, 2013 #2 mwanamke akisafiri kwenda sehemu kwa miezi mitatu au zaidi,akirudi anamkuta mme wake kaoa?
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,852 Dec 7, 2013 Thread starter #3 Victoire said: mwanamke akisafiri kwenda sehemu kwa miezi mitatu au zaidi,akirudi anamkuta mme wake kaoa? Click to expand... sio kweli ni maneno tu sema wakurya kuoa mke zaidi ya mmoja ni ruksa.
Victoire said: mwanamke akisafiri kwenda sehemu kwa miezi mitatu au zaidi,akirudi anamkuta mme wake kaoa? Click to expand... sio kweli ni maneno tu sema wakurya kuoa mke zaidi ya mmoja ni ruksa.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,575 Reaction score 105,422 Dec 7, 2013 #4 Mwanamke asipopigwa na mumewe anahisi hapendwi?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Dec 7, 2013 #5 Tatizo lenu kina Mwita Maranya mkiulizwa maswali magumu mnaanza kutembeza mapanga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,852 Dec 7, 2013 Thread starter #6 ushiboy said: Mwanamke asipopigwa na mumewe anahisi hapendwi? Click to expand... Kupigwa kule kwingine sio unakokujua wewe.
ushiboy said: Mwanamke asipopigwa na mumewe anahisi hapendwi? Click to expand... Kupigwa kule kwingine sio unakokujua wewe.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Dec 7, 2013 #7 Tatizo lenu kina Mwita Maranya mkiulizwa maswali magumu mnaanza kutembeza mapanga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Dec 7, 2013 #8 Ni kweli hiko kwenu wanawake wanatolewa Ving'amuzi
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,852 Dec 7, 2013 Thread starter #9 Heaven on Earth said: Ni kweli hiko kwenu wanawake wanatolewa Ving'amuzi Click to expand... Ni kweli ila baadhi ya watu wameanza kuelimika kuacha mila hizo.
Heaven on Earth said: Ni kweli hiko kwenu wanawake wanatolewa Ving'amuzi Click to expand... Ni kweli ila baadhi ya watu wameanza kuelimika kuacha mila hizo.
E essau harrison New Member Joined Dec 6, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Dec 7, 2013 #10 Wagancho ni wakurya au ni wajaluo
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Dec 7, 2013 #11 Ni kweli kuwa mwanaume aliyezaliwa na mwanamke asiyekeketwa hana heshima mbeleza wanaume wenzie?? na anajulikana kama "omona wa msaghane??"
Ni kweli kuwa mwanaume aliyezaliwa na mwanamke asiyekeketwa hana heshima mbeleza wanaume wenzie?? na anajulikana kama "omona wa msaghane??"
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #12 Molembe said: Kama una suala lolote kuhusu wakurya hasa mapenzi, na maisha mengine kwa ujumla uliza ujibiwe hapa. cc DEMBA. Click to expand... huwa mnapenda sana kulamba sana ugolo ka wamasai.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Molembe said: Kama una suala lolote kuhusu wakurya hasa mapenzi, na maisha mengine kwa ujumla uliza ujibiwe hapa. cc DEMBA. Click to expand... huwa mnapenda sana kulamba sana ugolo ka wamasai..
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,852 Dec 7, 2013 Thread starter #13 asigwa said: Ni kweli kuwa mwanaume aliyezaliwa na mwanamke asiyekeketwa hana heshima mbeleza wanaume wenzie?? na anajulikana kama "omona wa msaghane??" Click to expand... sio kweli anadharaulika ambae hajatahiriwa.
asigwa said: Ni kweli kuwa mwanaume aliyezaliwa na mwanamke asiyekeketwa hana heshima mbeleza wanaume wenzie?? na anajulikana kama "omona wa msaghane??" Click to expand... sio kweli anadharaulika ambae hajatahiriwa.
LILENDI JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 1,400 Reaction score 497 Dec 7, 2013 #14 je, ni kweli kuwa mkurya hata umwahidi kumpa laki moja hawezi kutamka neno KUFULI badala yake hutamka KUFURI?
je, ni kweli kuwa mkurya hata umwahidi kumpa laki moja hawezi kutamka neno KUFULI badala yake hutamka KUFURI?
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Dec 7, 2013 #15 Kwanini nyie mnauza mayai? Kuku walinza kwenu?
M Misa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2013 Posts 838 Reaction score 135 Dec 7, 2013 #16 uwiiiiiiiiiiiii,man'gana gasarikire!
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,575 Reaction score 105,422 Dec 7, 2013 #17 Nikweli kwamba mnawivu kwa hawara kuliko mke?
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,852 Dec 7, 2013 Thread starter #18 ushiboy said: Nikweli kwamba mnawivu kwa hawara kuliko mke? Click to expand... kweli!
badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,117 Dec 7, 2013 #19 Tabia hii prominent ya kutoa kichapo kw wife imetokea wapy,and unavoona wanaume wa siku iz wakikurya bado wanayo?
Tabia hii prominent ya kutoa kichapo kw wife imetokea wapy,and unavoona wanaume wa siku iz wakikurya bado wanayo?
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,575 Reaction score 105,422 Dec 7, 2013 #20 Nikweli mkienda muziki (disco) mnatabia ya kuficha rungu na panga kwenye makoti marefu ( jungle)?