saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,677
- 7,811
Unataka uletewe mke nyumbani?Mambo mengine ni uzembe wako tuAisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umete gwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya Sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Kweli Babu zama hizi wengi tumekuwa waoga wa maisha pia warembo nao pasua kichwa wanachagua sana sana na wanapenda hela yani ni balaa mkuu hila kuoa ni jambo la muhimu asa hizi nyakatiKuoa Muhimu Mkuu
Kuoa kunaongeza uwezo wa Mwanaume kufikiri na ku-solve changamoto zake za Kiuchumi.
Zamani ilikuwa kawaida Mwanaume Kuoa mapema sio kama ninyi miaka yenu unakuta Mwanaume anaoa akiwa na miaka 45, ilikuwa kawaida kumkuta Kijana wa miaka 20's tu akiwa tayari na familia yake [emoji847]
Tulia dogo unatakiwa uelewe somoUnataka uletewe mke nyumbani?Mambo mengine ni uzembe wako tu
Kweli mwanangu ni changamoto sanaMahusiano ya nyakati hizi,maslahi ndio kipaumbele Cha walio Wengi,ndio maana wale wenye mapenzi ya kweli wanabaki kuwa singo Kwa sababu hawawezi drama za Kila mara.
Haaaah Kama Leo nimeamka na message za Songesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida tu bro kuna saa siku nzima inaisha hujapokea simu wala meseji yoyote zaidi ya meseji za voda na za matapeli ile hela rusha kwenye namba hii
Wewe unafaa uombewe maji ya kunywa tu na si kingine.Upweke umeutaka mwenyewe aidha kwa uoga wako au uchoyo wa kutotaka kuishi na mtu.Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umete gwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya Sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Mi nishazoea saiv najionea sawa tu, niliona ntakuja kufa bure kabla ya wakati [emoji23]Ile hali unarudi ndani halafu pako kimya.
Hakuna wa kukupokea Wala kukuongelesha.
Unajikuta simu na Tv ndio mfariji wako.
Halooo.
Kuongea na mtu live mpaka kazini tena
Ivi izi drama drama kwa baadhi ya wasichana chanzo chake huwa nini ?.Mahusiano ya nyakati hizi,maslahi ndio kipaumbele Cha walio Wengi,ndio maana wale wenye mapenzi ya kweli wanabaki kuwa singo Kwa sababu hawawezi drama za Kila mara.
Ni kweli Mkuu, ila bado mabinti waaminifu wapo sana Mtaani.Kweli Babu zama hizi wengi tumekuwa waoga wa maisha pia warembo nao pasua kichwa wanachagua sana sana na wanapenda hela yani ni balaa mkuu hila kuoa ni jambo la muhimu asa hizi nyakati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nimecheka Kama nakuona vile ukiwa uchi teh watu wanaweza kukuona unawanga ndaniMbona mm napenda hayo maisha jamni full kupumzika[emoji3]
Napika huku naimba
natoka chooni uchi had chumbani naenjoy [emoji23][emoji23]nacheza mziki humo ndani nikitosheka naingiamtandaoni Nacheka had jino la mwisho
Kwel kweli Kaka nimepokea ushauri kwa mikono miwili Mungu na anifanyie wepesiNi kweli Mkuu, ila bado mabinti waaminifu wapo sana Mtaani.
Ni suala la kumshirikisha Mungu kwenye ombi lako.
Kumbuka Mungu atakupa wa kufanana naye
Umeona ehee mkuu mtot wa mkwe anakumbembeleza baby embu lala basiSema bn Kuna mda kukaa na mtoto wa kike ina raha yake flan...jioni ukirudi nyumba ina uhai mambo safi madiko diko[emoji123], unapata faraja &Kampan, asubuh ukiamka unaingia nyavuni unaoga unavaaa kibati
We jamaa ushawahi pata sonona ya upweke ni balaaKwani kuna tatizo gani kuishi peke yako huwa nashangaa sana watu wanao lalamika mbona maisha bora sana yasiyo na shida
We jamaa ushawahi pata sonona ya upweke ni balaa
Mambo ya pull table na mama muuza au jumba bovu na JaneAisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umetengwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
ππ€£ utazoea tu mkuu, tumia hiyo nafasi na muda kurusha ndoano kwinginee,Kawaida tu bro kuna saa siku nzima inaisha hujapokea simu wala meseji yoyote zaidi ya meseji za voda na za matapeli ile hela rusha kwenye namba hii
Unaziongelea pesa hizi hizi pesa?ππ kuna time mkuu pesa inachomoa. Muulize mtoa mada