Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umete gwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya Sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Tafuta wimbo wa Mwasiti unaitwa
SEREBUKA utakupa faraja sana
Wengine wanalia sababu ya kupenda lakini wameachwa... wameachwa
Wengine wanapigwa bado wang'ang'ana sababu ya mapenzi...
Wengine wafumania lakini waendelea sababu ya kupenda
Wengine wajiua wao walipendwa lakini wameachwa Leo
Labda tunapenda tusipopendeka aaah tusipotakiwa tunavumilia
Labda tunapendwa tusipopapenda tusipopataka tunasubiria
Serebuka2 unaweza penda tena we
Wengine nao waua ili wapendwe maishani mwishowe wateseka
Wengine walishaapa watawapenda milele wakarudia yaleyale
Wapo walioroga kushinda kwa waganga kupigania penzi Lao lao
Wengine zao kuhonga wao walipendwa pesa zao zikaisha wewe
Maisha ndivyo yalivyo kupata na kukosa
Maisha ndivyo yalivyo kutenda na kutendwa
Lakini yote mipango ya mola alichopanga
Lala lala eeh
Sent using
Jamii Forums mobile app