Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Duh kwanz maza ailioona na VIP reaction ya watu? Then nn kilifuata
 
Mama aliomba simu ili aangalie video ya Amber Rutty.

Akajaribu kujitumia.

Badala yake akaiset status.

Alivyoona inaload na kuandika sending status akajua kideo kinazama simuni mwake mapema tu.

turns out alimix code.

Mama yetu anazidi miaka 50?
 
Uache tabia mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…