Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 48,966
- 43,080
Bado muda, huwa unexpectedSijawahi kupiga mwanamke na sintowahi nimeishi na mwanamke miaka mitatu
Bado muda, huwa unexpectedSijawahi kupiga mwanamke na sintowahi nimeishi na mwanamke miaka mitatu
Nilitegemea kukutana na statement kama "wakuu nimempiga vibaya sana mke wangu" 😬😬We jamaa mbna gaidi.
Bro mpotezee wala ukiiitwa kwenye kikao usiende. Akikaza we zidisha mara mbili. Muda wako ukiisha tembea.Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike kidogo home.
Well toka nifike home naona wife ana harakati nyingi tu ambazo sizielewi..last week kabla likizo yangu haijaisha nikaamua kumlia timing huyu kiumbe, niko ndani afu kaondoka kaenda kariakoo bila kuniaga kwa Madai yake alienda kufunga mzigo fulani hivi.
Haikuwa kesi sana, sasa leo niko home nikaona ye hajishughulishi na mimi, mie mambo yangu nikawa nampa maelekezo dada wa kazi,kumbe wife akawa anaumia why nampa maelekezo dada while yeye yupo..dada akaondoka kumpeleka mtoto shule akatuacha wawili ndani.
Kwa kifupi wife kanitamkia maneno ya maudhi..aisee nimemchapa makofi sio poa na toka nimuoe huyu naamini sijawahi kumgusa kwa kuchapo ila leo kavuka mstari mwekundu ndio maana kala makofi, kanuna mpaka saivi na kawapigia ndugu wote kuwa anataka kuondoka coz anahisi me niko na mtu mwingine.
Naomba ushauri wa kiutu uzima hapa nifanyeje kuweka mambo sawa?
Ukiwa na wake wawili wataishia kugombana,kurogana na kutiliana fitna wao kwa wao huku wewe maisha yanakwenda poa kabisa. Ukiwa na mke mmoja atakuroga mpaka akufanye paka nyauuu🐈😂😂Dawa ya mwanamke ni mwanamke.
Hataondoka
Anapigwa tu mashine tu love!Mwanamke hapigiwi sweetheart, jamaa kakosea...
mpaka saivi na kawapigia ndugu wote kuwa anataka kuondoka
Anapigwa tu mashine tu love!
Jamaa anaonekana mpole sana ungekua kichaa wangu hapo
Kaa kimya sweetheart...
we hutamkii mshkaji memaMwache afanye anachotaka usitetereke akiendelea kuropoka wamba makofi mpaka alama ya kiganja ibaki mashavuni
Kupiga ulikosea mwaka 1984 Arusha kuna askari alimpiga kofi mkewe,,,,alianguka hakuamka tena.Mimi wife nyuma kidogo alijisahau wakati amejifungua ana kama miezi nane hivi akawa mvivu na mchafu
Nilimgombeza akanuna haongei ilibidi nimkumbushe na kofi la kilo tatu shavuni alipiga kelele ni hakuna akajifanya amezimia mtoto analia
Niligeuka yaya siku nzima ilikuwa jumamosi
Mchana nilimuamsha kumpa panadol kwenye saa kumi akajifanya amepona
Kitu kizuri mama yake ananiamini kulko hata vijana wake wa kiume kwahiyo hakuripot kwa maswaibu yaliyomkuta
Usiku aliomba msamaha na alibadilika pakubwa
Usitabirike kwa mke wako,
Love is an art