Uliwahi kuchelewa namba shuleni?

Hivi shule za sekondari za serikali nazo kuna huu utaratibu wa kuwahi namba au ni shule za msingi tu ??
 
Ilasikuhizi hamtaki watoto wenu wasichapwe wakifeli lawama kwa walimu sasa wafanyeje wakati mlikataa watoto wenu wasichapwe?
 
Back
Top Bottom