Uliwahi kuchelewa namba shuleni?

Shule niliyo kuwa nasoma ukichelewa au ukiwa mtundu shuleni unapelekwa kwenye room flani special unapewa ushauri nasaha! wanakuandaa kisaikologia kesho yake wew mwenyewe utaona aibu kurudia lile kosa

Mwalimu akiwa rafiki wa mwanafunzi, na mwanafunzi akawa rafiki na mwalimu adhabu hizo utazipewa wapi?

Ukienda kwa wazungu mambo kama hayo hayapo ndiyo maana mnapigwa bao kwenye mambo mengi ya msingi
kwa bongo haiwezekani ni stori i hizooo
 
Nilikuwa napelekwa shuleni na gari!
Sema "nilikuwa napelekwa shuleni KWA gari".

Unaposema "Nilikuwa napelekwa shuleni NA gari" maana yake gari yenyewe ilikuwa "mwanafunzi" mwenzio.

Hivi shule ulienda kusoma ujinga?

CC FaizaFoxy
 
Sema "nilikuwa napelekwa shuleni KWA gari".

Unaposema "Nilikuwa napelekwa shuleni NA gari" maana yake gari yenyewe ilikuwa "mwanafunzi" mwenzio.

Hivi shule ulienda kusoma ujinga?

CC FaizaFoxy
Point yako ni ipi mkuu? Shule nilikuwa napelekwa na gari ya nyumbani, get it on your head
 
Mie nakumbuka mwaka 97 nilipigwa pigwa kidogo sababu ya namba ila hizo adhabu sikufanyiwa
Ila shule za serikali zilinitesa
 
Wachelewaji wengine hawa
87ce977619fe3ab9d5fb8b54dfcf00a3.jpg
Hii adhabu ilikua inaitwa Kushika Masikio.
 
Adhabu iliyokuwa inatsha ni ya kuinama nakupitisha mikono kwenye miguu then unashika masikio.
Hapo huwezi kichelewa namba tena!
 
Kuna siku nakumbuka nilichelewa namba ile siku sitoisahau machale yalinicheza tukapitia pembeni mimi na mwenzangu tukafungua kondoo wa shule tukaenda kuchunga waliobaki shuleni wakepewa adhabu ya kubilingika uwanjani mwanzo mpaka mwisho mimi na mwenzangu tuliitwa takandikwa viboko bila idadi hatukuweza kutembea wiki nzima kweli sitosahau.
 
mara chache nilikuwa naingilia mlangoni kipindi niko primary

kila siku nilikuwa naingilia dirishani na kutokea dirishani (shule yetu ilikuwa kijijini...msishangae)
 
Back
Top Bottom