Uliwahi kuchelewa namba shuleni?

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,034
2,249
1483353444126.png
 
Kwahiyo ukichelewa wanaweka matofali juu yaa gari au wewe huadhibiwi?
Shule niliyo kuwa nasoma ukichelewa au ukiwa mtundu shuleni unapelekwa kwenye room flani special unapewa ushauri nasaha! wanakuandaa kisaikologia kesho yake wew mwenyewe utaona aibu kurudia lile kosa

Mwalimu akiwa rafiki wa mwanafunzi, na mwanafunzi akawa rafiki na mwalimu adhabu hizo utazipewa wapi?

Ukienda kwa wazungu mambo kama hayo hayapo ndiyo maana mnapigwa bao kwenye mambo mengi ya msingi
 
Hahaha!! We hujui hao wazungu wanachokutana nacho sasahivi baada ya hayo mambo yao ya special room. Mimi mwanangu anasoma huko kwa hao wazungu ni ujinga mtupu. Kati ya kumi utafanikiwa kuwapata wawili watakaofuata ushauri unaosema wengine ndio hao wanaoingia na bastola darasani. Kuna njia nyingi na sio kwamba nakubaliana na hizi adhabu zetu zote! No! Ila pia sikubaliani na unavyofikiri wazungu adhabu zao zinawork.
 
Back
Top Bottom