mensaah
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 927
- 1,311
Sasa ukijua muda niliotumia kumpata itakusaidia nn? Au utafaidikaje?, sio lazima ulete uzi sometimes unakuwa mchangiaji tuHabari zenu wanajamii.
Muda wa kukubaliana kati ya mwanamke na mwanaume baada ya kutongozana unatofautiana kwa kila couple.
Nahitaji kujua ulitumia muda gani kumpata uliyenae!?