Ulitumia muda gani kumpata uliyenaye?

Ulitumia muda gani kumpata uliyenaye?

Tushashtuka kitambo ...kwanza Siku hizi pesa zinafatwa gheto sio mambo ya mpesa plus tgopesa
Alaa kumbe! Ndo maana siku hizi situmiwi pesa tena....naambiwa nifate. Ngoja tutafute na sisi mbinu mbadala ili twende sawa
 
Alaa kumbe! Ndo maana siku hizi situmiwi pesa tena....naambiwa nifate. Ngoja tutafute na sisi mbinu mbadala ili twende sawa
Ahaaaah apo ndo utajua maana ya kujiongeza kiakili ....Hatutumi unataka ya kuset wigi njoo uifate home
 
Habari zenu wanajamii.

Muda wa kukubaliana kati ya mwanamke na mwanaume baada ya kutongozana unatofautiana kwa kila couple.

Nahitaji kujua ulitumia muda gani kumpata uliyenae!?
miaka miwili yaani: [2 yrs=720 days =17280hrs =1036800minutes =62208000seconds]
huyo ni mke ila vimchepuko hasa zama hizi za Pombe ni fraction of minutes.
 
Aisee, ilinichukua mwaka na..., kumkubalia huyu bae wangu!!! Jamaa alikuwa msumbufu balaa, kuna wakati ilikuwa inanilazimu kubadili njia ili tu nisikutane nae..... Hahahah daah, basi tuu
 
Aisee, ilinichukua mwaka na..., kumkubalia huyu bae wangu!!! Jamaa alikuwa msumbufu balaa, kuna wakati ilikuwa inanilazimu kubadili njia ili tu nisikutane nae..... Hahahah daah, basi tuu
🙂 🙂 🙂 ya ukweli hayo ??
 
Back
Top Bottom