Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,008
- 31,816
Wamegundua kutongozwa ni fursaTena kwa kipindi hiki 😀 😀 😀 😀 ....na wao washashtuka hawarembiii ...
Wamegundua kutongozwa ni fursaTena kwa kipindi hiki 😀 😀 😀 😀 ....na wao washashtuka hawarembiii ...
Sio kwa maneno hayooMguno huo vipiii mpendwa sakayo
[emoji85][emoji85]
Siku zote lifti humkuta aliye njianiSaizi wanawake kutongozwa imekuwa fursa
Saana, nikikumbuka hilo tu naongeza mapenziVizuri mna cha kusimulia
Sawa mkuuSiku zote lifti humkuta aliye njiani
hahaha, aisee si mchezo nimepoteza muda wa kutoshaAhaaaaaah unatafuta kupata postgraduate kwake mkuu
HahahaUtawaweka kapuni wangapi ??
Tatizo na nyie ukishampata mtu unamtwisha mizigo yote mpaka majukumu ya mzazi unataka afanye
Kila siku mambo yana badilika,Wamegundua kutongozwa ni fursa
BwanaabwanaaahSaana, nikikumbuka hilo tu naongeza mapenzi
Hili hawakulijua na ndo maana kila kitu kinaendana na mazingira tuliyo nayo nao walifanya kulingana na mazingira waliyo kuwa nayoKila siku mambo yana badilika,
Hivi wazee wetu walikua wanajua kuwa siku moja kutakuwa na mitandao na wenetu watakutana humo na kuoana?
Vizuri, ukirusha nyavu kwa Mara nyingine kwa MTU mwingine akikujibu ndio au hapana hapo hapo usishangae,Hili hawakulijua na ndo maana kila kitu kinaendana na mazingira tuliyo nayo nao walifanya kulingana na mazingira waliyo kuwa nayo
Leo nimeongeaa point 🙂 🙂 🙂 🙂Hahaha
Ila kweli, sio vyema kuanza kuombana nauli bhana!! Hicho kitendo tu kinakupunguzia heshima fulani kwa mwanaume!!
Mmmmmmh ulinambia niwe natembeatembeaaSio kwa maneno hayoo
Kweli kila jambo na wakati wakeVizuri, ukirusha nyavu kwa Mara nyingine kwa MTU mwingine akikujibu ndio au hapana hapo hapo usishangae,
na akienda mbali zaidi atake kukupa mzigo muda huohuo pia usistaajabu
Noo problem kwa anakuja kuchukua hivi hiviUkimwambia aje achukue ujiandae na kutoa ya nauli! Maana hili nalo ni changamoto kubwa sana siku hizi!
Ukizubaa anaweza kuondoka bila ya kumtembea moto!Noo problem kwa anakuja kuchukua hivi hivi
Ukizubaa anaweza kuondoka bila ya kumtembezea moto.Noo problem kwa anakuja kuchukua hivi hivi
Ukizubaa anaweza kuondoka bila ya kumtembezea moto!Noo problem kwa anakuja kuchukua hivi hivi
Ukizubaa anaweza kuondoka bila ya kumtembea moto!Noo problem kwa anakuja kuchukua hivi hivi