Ulitumia masaa mangapi Mkoa hadi Mkoa kwa gari/bus

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,297
Reaction score
1,861
Wakuu, kuna kisa nimekikumbuka kwamwe sitokisahau nikaone niweke hapa jukwaani ili tuweze kushare safari kutoka mkoa kwa mkoa ambayo huwezi isahau. Nakumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili nilikua natoka Dar naenda Iringa (mara nyingi natumiaga IT) gari zinazotoka bandarini kwenda nchi zisizo na Bandari k.v Zambia, Congo, Rwanda. Nimefika pale Kibo napopandiaga gari sa 3 usiku nasubiri IT nianze safari. Hadi saa4 na nusu sikupata gari njia ya Iringa. Kwenye saa5 usiku ikaingia Toyota Brevis nyeupe pale Kibo. Nikanegotiate na dereva(Anaitwa Janaary ana asili ya kiarabu) mpaka Iringa akahitaji 20k nikampatia.

Saa 5 na dakika zake tukaanza safari wawili tu kuitafuta MK yeye akielekea Tunduma border ya Zambia. Ebana e sijawahi ona chuma inatembea kama ile siku wallah. Jamaa alitoka na mwendo wa kawaida tu mpaka Misugusugu akapiga kibali tayari kwa safari. Akaniambia Hapa Iringa nitaingia kwenye saa 10 nikaona haiwezekani akasema subiri uone.

Mimi nakakaa siti ya nyuma ili niweze kuona speed bar inavyoyoma. Jamaa katoka Misugusugu saa 5 na Nusu nachek katoka na speed 180kph nakumbuka ameshuka sana 140kph yani Moro tumeingia saa 6 kama na nusu hivi.

Gari zote za IT zilizokua njiani aliziovertake kwa speed ya ajabu. Saa 10 na robo Brevis imeingia Iringa pale sheli, nilipigwa na butwaa na sikuamini kama tulifika salama, na kila dereva aliyekuja pale sheli anamshangaa jamaa wewe ndiye ulinipita sehemu fulani aisee sikuwezi.

Tulitumia almost masaa ma5 Dar-Iringa, Je!ulitumia masaa mangapi kwa safari Mkoa mmoja hadi mwingine ambayo hutokuja kusahau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar to Dom na matei ya Singida (ilikuwa mpya) tulifika saa 7 na dk 13 sijasahau hadi leo na Dar tulitoka 12 na nusu

Shabiby Dar to Dom saa 11 hii siku nilichukia na tulitoka Dar 12 na nusu..dereva alikuwa na kitambi mpaka nikatamani nikamfundishe jinsi ya kukanyaga mafuta

Dar to Arusha na premio masaa 4 na dk kadhaa

Dar to Musoma, nilitumia ungo wa bibi kwa dk 20 tu 😀
 
Wakuu, kuna kisa nimekikumbuka kwamwe sitokisahau nikaone niweke hapa jukwaani ili tuweze kushare safari kutoka mkoa kwa mkoa ambayo huwezi isahau. Nakumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili nilikua natoka Dar naenda Iringa (mara nyingi natumiaga IT) gari zinazotoka bandarini kwenda nchi zisizo na Bandari k.v

Zambia, Congo, Rwanda. Nimefika pale Kibo napopandiaga gari sa 3 usiku nasubiri IT nianze safari. Hadi saa4 na nusu sikupata gari njia ya Iringa. Kwenye saa5 usiku ikaingia Toyota Brevis nyeupe pale Kibo. Nikanegotiate na dereva(Anaitwa Janaary ana asili ya kiarabu) mpaka Iringa akahitaji 20k nikampatia.

Saa 5 na dakika zake tukaanza safari wawili tu kuitafuta MK yeye akielekea Tunduma border ya Zambia. Ebana e sijawahi ona chuma inatembea kama ile siku wallah. Jamaa alitoka na mwendo wa kawaida tu mpaka Misugusugu akapiga kibali tayari kwa safari. Akaniambia Hapa Iringa nitaingia kwenye saa 10 nikaona haiwezekani akasema subiri uone.

Mimi nakakaa siti ya nyuma ili niweze kuona speed bar inavyoyoma. Jamaa katoka Misugusugu saa 5 na Nusu nachek katoka na speed 180kph nakumbuka ameshuka sana 140kph yani Moro tumeingia saa 6 kama na nusu hivi.

Gari zote za IT zilizokua njiani aliziovertake kwa speed ya ajabu. Saa 10 na robo Brevis imeingia Iringa pale sheli, nilipigwa na butwaa na sikuamini kama tulifika salama, na kila dereva aliyekuja pale sheli anamshangaa jamaa wewe ndiye ulinipita sehemu fulani aisee sikuwezi.

Tulitumia almost masaa ma5 Dar-Iringa, Je!ulitumia masaa mangapi kwa safari Mkoa mmoja hadi mwingine ambayo hutokuja kusahau?

Sent using Jamii Forums mobile app
Washington DC to New York nilitumia four good hours
 
Usinikumbushe jinsi nilivyoendesha trekta kutoka DSM mpaka Sumbawanga, ili tu nipate hela ya kupandishia kwenye lori.
Nilidundadunda njia nzima, sijawahi kupata hela kwa taabu Kama nilivyoipata hiyo hela.
Shikamoo Swaraj trekta ya Muhindi 🚜🚜
Ulitumia miaka mingapi broo
 
Wakuu, kuna kisa nimekikumbuka kwamwe sitokisahau nikaone niweke hapa jukwaani ili tuweze kushare safari kutoka mkoa kwa mkoa ambayo huwezi isahau. Nakumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili nilikua natoka Dar naenda Iringa (mara nyingi natumiaga IT) gari zinazotoka bandarini kwenda nchi zisizo na Bandari k.v

Zambia, Congo, Rwanda. Nimefika pale Kibo napopandiaga gari sa 3 usiku nasubiri IT nianze safari. Hadi saa4 na nusu sikupata gari njia ya Iringa. Kwenye saa5 usiku ikaingia Toyota Brevis nyeupe pale Kibo. Nikanegotiate na dereva(Anaitwa Janaary ana asili ya kiarabu) mpaka Iringa akahitaji 20k nikampatia.

Saa 5 na dakika zake tukaanza safari wawili tu kuitafuta MK yeye akielekea Tunduma border ya Zambia. Ebana e sijawahi ona chuma inatembea kama ile siku wallah. Jamaa alitoka na mwendo wa kawaida tu mpaka Misugusugu akapiga kibali tayari kwa safari. Akaniambia Hapa Iringa nitaingia kwenye saa 10 nikaona haiwezekani akasema subiri uone.

Mimi nakakaa siti ya nyuma ili niweze kuona speed bar inavyoyoma. Jamaa katoka Misugusugu saa 5 na Nusu nachek katoka na speed 180kph nakumbuka ameshuka sana 140kph yani Moro tumeingia saa 6 kama na nusu hivi.

Gari zote za IT zilizokua njiani aliziovertake kwa speed ya ajabu. Saa 10 na robo Brevis imeingia Iringa pale sheli, nilipigwa na butwaa na sikuamini kama tulifika salama, na kila dereva aliyekuja pale sheli anamshangaa jamaa wewe ndiye ulinipita sehemu fulani aisee sikuwezi.

Tulitumia almost masaa ma5 Dar-Iringa, Je!ulitumia masaa mangapi kwa safari Mkoa mmoja hadi mwingine ambayo hutokuja kusahau?

Sent using Jamii Forums mobile app

Crown nilitoka saa tano na nusu usiku Dar nikaingia Dodoma saa kumi na dakika 20 wife kalala namwambia tumefika haamini
 
Back
Top Bottom