Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

Mimi ninayo ya mitishamba,ya kuchanganya kwenye nusu glasi ya maziwa fresh,ata Kama una vidonda sugu unapona,usipopona Kuna mkono wa mtu,anayeitaji karibu pm
 
Wakuu mimi nina maumivu hapa kwenye chembe ya moyo. Ni kama kuna kidonda kwa ndani. Ukiinama ama ukinyanyua kitu kizito ndipo unayasikia. Wakati mwingine yanapanda hadi kwenye koo. Ukipiga mswaki ndo unayasikia ama ukipanua mdomo. Nimetumia dawa nyingi za vidonda vya tumbo hazijanisaidia. Nimepima h pylori ikasoma negative. Mwenye ufahamu zaidi anisaidie tafadhali.
 
Kufunga kula ndani ya siku 30-60 ni dawa tosha ya madonda ya tumbo.

Kwa siku kula mlo mmoja tu, na uwe kati ya saa 7 mchana mpaka saa 3 usiku.

Sent from my Nokia 3.4 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mimi nina maumivu hapa kwenye chembe ya moyo. Ni kama kuna kidonda kwa ndani. Ukiinama ama ukinyanyua kitu kizito ndipo unayasikia. Wakati mwingine yanapanda hadi kwenye koo. Ukipiga mswaki ndo unayasikia ama ukipanua mdomo. Nimetumia dawa nyingi za vidonda vya tumbo hazijanisaidia. Nimepima h pylori ikasoma negative. Mwenye ufahamu zaidi anisaidie tafadhali.
Hiyo inaitwa GERD(Gastroesophageal reflux Disease)
 
Tumia hayo majani
 
Attachments

  • Screenshot_20220817-152059.jpg
    Screenshot_20220817-152059.jpg
    200.1 KB · Views: 76
Mkojo...fanya hivi ..kojoa mkojo wa subuhi..uwache mpaka Kesho yake .Kisha Anza kuunywa ..weka kwenye kijiko, kila siku asubuhi kabla hujala kitu kaa kama dakika 30 mpaka 45 Kisha piga mswaki...ndani ya muda mfupi Hilo tatizo litaisha...
Sasa mkojo ukilala si ndo unazalisha wadudu na kutoa harufu kali , ukinywa si utaugua kabisa.
 
Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it.

Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna mlivyoondokana na hili tatizo/ulitumia dawa gani?

Karibu na utakuwa umesaidia wengi
Natanguliza shukrani!
Nasubr matokeo niko kwenye dozi now ila siku nikimaliza alafu ikawa fresh nitakufata dm
 
Mkojo...fanya hivi ..kojoa mkojo wa subuhi..uwache mpaka Kesho yake .Kisha Anza kuunywa ..weka kwenye kijiko, kila siku asubuhi kabla hujala kitu kaa kama dakika 30 mpaka 45 Kisha piga mswaki...ndani ya muda mfupi Hilo tatizo litaisha...
Kitu figo imeshachuja, ni uchafu unataka kuumiza mwili?
Kuna namna ukifata kila ushauri utapotea.
 
Ukifatiliza huyu jamaa,hakika hauna siku nyingi za kuishi.
Hahaha, mkuu kama haufahamu kitu ni bora ukakaa kimya tu, na pia kama unajua madonda ya tumbo yanaanzaje na chanzo chake ni kipi usingesema ulichosema.

Endelea kula milo sita kwa siku na kubugia madawa na kamwe hautopona.
 
Hakuna dawa zaidi ya mlenda boss wangu ndani ya dakika Tano maumivu Kwisha na ndani ya siku tatu Kwisha habari una Anza jutumia mpaka nyagi
 
Mashona nguo

Chemsha maji nusu kikombe kisha yaepue alafu chukua majani masafi ya mashona nguo kiasi cha kiganja cha mkono kisha yadumbukize kwenye maji uliyoepua.
Baada ya muda maji hayo yatakuwa na rangi kama njano hivi, sasa kunywa maji hayo utafune na hayo majani yote umeze.... Fanya zoezi hilo kwa siku tatu kila siku asubuhi utapona kabisa
 
Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it.

Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna mlivyoondokana na hili tatizo/ulitumia dawa gani?

Karibu na utakuwa umesaidia wengi
Natanguliza shukrani!
Stemcell ndio dawa na kinga pekee unayomalizia shids hii
 
Hahaha, mkuu kama haufahamu kitu ni bora ukakaa kimya tu, na pia kama unajua madonda ya tumbo yanaanzaje na chanzo chake ni kipi usingesema ulichosema.

Endelea kula milo sita kwa siku na kubugia madawa na kamwe hautopona.
Wacha nikae kimya.
 
Back
Top Bottom