Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Maandiko matakatifu yako wazi mungu kwanza mengine badae
 
Tena toleo jipya kontena kibao mtaani.
Aachane na huyo aliyefeli...karingakaringa sasa hv anaona hana soko!
 
Tatizo la huyu mwamba anampenda sana prisca halafu anahisi hawezi kupata mwingine mithiri ya prisca
 
kuna dem nlitongoza kitambo kidogo akaniletea mapigo kama ayo, sasaivi jua limezama ananisumbua sana japo sija oa lakini simpendi kama ilivyo kipindi cha mwanzo, nimepiga then nimemute yaan najifanya nipo busy sana sasaivi anateseka yeye kunililia kama ilivyo mimi mwanzoni, lazima tutese kwa zamu, wewe chapa kwanza sasaivi ila tumia kinga fresh then kuhusu future wewe na yeye basi moyo na wakati ndio vitaamua.
 
Hizo mambo zinatokeaga sana hasa pale mtu alikuchukulia poa anapata challenge inayomsumbua anakosa msaada huwa anakumbuka watu wote na umuhim wa kila mmoja katika maisha yake . Hapo ndio thamani ya mtu alomdharau mwanzo huonekana. Na hii sio kwa madem tu hata kwa washkaji huwa inatokea. Mwanzo mwana anakuwa hater kinoma baada ya muda mkikutana anakuzingatia kinouma hadi unajistuki. Kumbe ndo maisha yashampiga huko anakumbuka kuwa unaweza kuwa msada kwake ko inabidi awe mdogo
 
Nenda mkapime kwanza, then piga mzigo haiwezekani akuumize kihisia hivi hivi

Katika list ya waliopita nae jitahidi na wewe uwepo

Kuhusu ndoa, hilo ni maamuzi yako mzee
 
Asa mtu yuko form 6,nyie mnasema ni mtoto

Yaani form 6 ni mtoto??, acheni zenu nyie
 
nakushauri mwambie ya moyoni alivyokutesa kwa kukukatalia sema wazi tu kuwa moyoni mwako kapungua/hayupo kabisa, mkuu hicho kinachokutatiza kitue weka mambo wazi.
 
cha kwanza aje kwanza upige vema kabisa afu mengine yatajipanga yenyewe usijali najua bado unakua ndio maana nimekushauri la hasha nisingefanya hivyo
 
Hii comment imenifanya nitamani ungekuwa Dada yangu.

You are so honest and caring.

Ni wanawake wachache sana walio tayari kuwasaidia wanaume wasiraruliwe na makucha ya wanawake wenzao.
 
Ukweli mwenyewe nimeshangazwa na jamaa kuomba ushauri kwenye hatari kama hii.
Alitakiwa atekeleze uamuzi wenye mrengo kama hii comment yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…