Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Unataka kuharibu maisha ya kijana wetu kwa huu ushauri wako wenye elements za huruma bila hisabati
 
Mkaribishe geto then mnyooshe! Ila kuoa sikushauri maan unatakiwa ujiulize kwann hana mpenzi mpaka sasa! Na nadhan atakuwa ni victim wa love huyo so anatafuta pa kutokea!!
 
Nashkuru sana dada angu. Hakika nitazingatia ushauri wako katika kufanya maaumuzi.
 
Hakika sio kazi ya kitoto😂
 
nipe sifa za huyo mwanamke, nitakwambia ni mtu wa aina gani!!
 
Anatumia akili za kishoro [emoji38]
Kishoro amekuwa rafiki yangu toka tuko shuleni, anaelewa mengi sana kuhusu mimi na huyu msichana. Ameshanishauri sana tukiwa shuleni kuwa nisiwe na haraka. Kutokana na ufahamu wake juu ya mimi na huyu msichana ilikuwa lazima na yeye anipe maoni yake.
 
Hyo hali wanaume wengi tumepitia/tunapitia..

.... kumbuka tuu,kinacho leta furaha ktk ndoa na kufanya idumu sio mapenzi wala sura au shepu Bali ni tabia na kuhurumiana..

Mimi nilipitia situation kama hyo kwa bint mmoja,nilichofanya...

Kuangalia vigezo vyngu kwanza,nataka nioe mwanamke wa sampuli gani? (Hasahasa tabia na dini)

Je,ni mwanamke anaendana na ndoto zangu?

Je,bado ana msimamo na mapenzi ya kweli kwangu..?

Jipe muda ndugu kumchunguza....kamwe usimwamini Sana mwanamke never,wanawake wanajua kurubuni Sana tena Sana .
 
Thanks brother
 
pole sana mpendwa kwa yaliyokukuta,kitu ninachokiamini katika dunia hii uaminifu kwenye mapenzi hakuna tena,naomba nikuulize kwahiyo ww shemeji hujawahi kumucheat jamaa kweli? au kwa vile ww umemfumania ndio umekasilika.ukiachana na jamaa hutataka mapenzi tena? kama jamaa bado anakupenda na kukuheshimu sion haja ya kuachana nae,just forgive my dear
 
Asante sana kwa ufafanuzi wa mwanaume domo zege ila nimecheka mpaka machozi [emoji23]
 
Na akumbuke kutumia kondomu

Huwa Wana roho mbaya sana mademu wanaorudi
 
Kwa niaba ya rafiki yangu danny napenda kuwashukuruni nyote kwa ushauri wenu naahidi tutaufanyia kazi na mambo yataenda sawia mi ni kishoro mshikaji wake mtoa maada. Hatuhitaji tena ushauri imetosha. asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…