Halafu wenye tabia hizi wengi;
vinakuwaga vyembambaaa! vyeusi, vinalilia moyoni muda wote, havinaga tabasamu la mahabat, Papuchi zao zina kama kona ya ghafla hivi, yaani unagonga mifupa (mons pubis) kabisa unaisikia,
kakivaa suruali una ona upande wa pili kwa usawa wa mapaja, Vina maneno meengi ya kukarahisha, vina furahi unavo hangaika,kutafuta hela ili wale! hata ukisema leo sisemi kitu, katalianzisha tu!
vinapenda kutuma-tuma, na kuagiza hasa vikiwa na mimba! hasahasa Red Bull baridi, sijui ina nini? mara ooh eti Peps baridi usiku saa nane ntavipata wapi! tena Ghorofa ya nne!
Hakuonei huruma huko chini unaweza kumbana na vibaka! yeye ni nenda tu tena kwa mguu ili usitongoze njiani! hata basi akushukuru!
Sasa wewe ole wako usiende! simu zitapigwa Dunia nzima! ulivo gaidi.
Ukiamua kupotezea kitaa kwa washkaji, utasikia huyu siku hizi anafanya hapa km gheto! anakuja anabadili na kuondoka! sitaki ukae na wale watu!
Papuchi sasa utasikia;
''si chakula hiki''
au''nimechoka kuchokonolewa kila wakati, Babu''!
Babu umelogelezewa papuchi? huchokagi mwaume weye? aliyekuroga kafa!
Wanawe wakitoka shule atalala nao kitanda kimoja usiku kucha midume mizima Baba utabanwa mpaka ukome! hata ukilala kunako kochi huamshwi!
ukihoji utasikia '' kwa nini unawachukia hawa watoto?''.... simu!... Chakula top layers wanalishwa watoto kwanza, Baba utaambiwa wanaume wanakula sana huko Bar! any time! chakula si lazima, atakuuliza tukupikie? wakati hela umetoa wewe!
Hunyooshwewi, utajijuu! hata ukivaa vibaya utajiju!, Sox na miguu ndo vitanuka kabisaa! halafu anakukejeli, unanuka miguu!
TV unawekewa rusha roho za kilokole, mwanzo mwisho hutakaa uangalie TV mbele yake labda watoto wake tu, au wakati wa kulala tena kwa sauti ya chini, kabisa!
Usimuangalie House keeper kwa nyuma, wala kuongea naye! ukichelewa usiku usimuamshe yeye! umekula hujala hajui!
SIKU NIKONDOKA BILA KUAGA MTANILAUMU?