King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,058
Hawa viumbe automatically huwa wanajihisi ni inferior so mda mwingine ukiona wanafanya vitu vya kujitutumua inabidi uelewe hivyo..
Kama kifedha haikugharimu kuwa nae basi jaribu kumtimizia matakwa yake kama hayo anayotaka. ukichukulia kama jokes hizo demands zake maisha yataenda.
Mimi naona tatizo si mwanamke, tatizo ni wewe jinsi unavyotafsiri hizo demands zake.
next time akikupigia simu mwambie akate halafu mpigie whatsapp video call ili ajue upo wapi kabla hata hajauliza.