Ulishawahi kuwa na mwanamke anayekutawala?

Katika harakati zangu za kutafuta mke nilikutana na kadada kazuri chuoni kalikuwa na sifa karibia na sifa zote nkikakapatia alama A Ila kalikuja kunitibua na baadhi ya tabia ulizotaja. Ila kubwa ni maswali kama police. Uko wapi, unafanyaje,. Siku moja kakaniuliza umelala? Ilikuwa kama saa 7 usiku, nikakajibu nipo nje naotea jua c unajua kabaridi haka. Alinuna sana na nikapata sababu ya kukudamp.
Sawa mkuu hawa watu kuna baadhi yao wana tabia za kukera mno
 
Wakuu habari za asubuhi.

Binafsi niko na mwanamke anayenitawala.

1.Kila kitu changu anataka kuelewa kinaanzaje na kinaishaje, hataki nifanye jambo lolote kama hajajua, endapo asipojua anaita kwamba nimemdharau.

2.Simu yangu hata kama nina maongezi na mzazi atasema kuwa mbona ninaongea muda mrefu, labda itakuwa ni wanawake, hawezi kuelewa kwa haraka, labda umtumie screenshot ya uliyekuwa unaongea naye.

3.Ratiba anataka ziende alivyozipanga yeye, akisema twende ni twende, ukisema una kazi fulani kwa muda huo, tayari huo ni ugomvi wa siku nzima, hapo nitaitwa nina dharau, namchukulia poa nk....

4.Akipiga simu ni lazima umuambie uko wapi na unafanya nini na kama akiona ana mashaka na unachosema ni lazima umuaminishe kwa kumtumia picha ya unachokifanya, au atapiga video call.

4.Kuna kipindi hakutaka ninunue simu janja, kwa mantiki ya kwamba nitakuwa naingia mitandao mbalimbali, instagram, jf whatsapp nk...

5.Muda wa kazi nikiwa nafanya kazi fulani, lazima atauliza namaliza saa ngapi nikivukisha muda ni kosa, utasikia anasema maisha mema, unajifanya upo busy

Declaration of interest, Mimi sio kibenten yeye ni mwanachuo na mimi nina harakati zangu nyingine mtaani.

Nipo nipo tu namsikilizia kwa sababu napata free p kupoteza muda kwa maana siwezi kuingia katika ndoa na mwanamke anayenitawala.

nipe experience yako.
Inaitwa kupatwa kwa mahusiano .
 
Mpaka mnyooke mliyataka wenyewe tulieni dawa iwaingie hayo Ndiyo mapenz
 
[emoji848]
tapatalk_1540037290463.jpeg
 
Wakuu habari za asubuhi.

Binafsi niko na mwanamke anayenitawala.

1.Kila kitu changu anataka kuelewa kinaanzaje na kinaishaje, hataki nifanye jambo lolote kama hajajua, endapo asipojua anaita kwamba nimemdharau.

2.Simu yangu hata kama nina maongezi na mzazi atasema kuwa mbona ninaongea muda mrefu, labda itakuwa ni wanawake, hawezi kuelewa kwa haraka, labda umtumie screenshot ya uliyekuwa unaongea naye.

3.Ratiba anataka ziende alivyozipanga yeye, akisema twende ni twende, ukisema una kazi fulani kwa muda huo, tayari huo ni ugomvi wa siku nzima, hapo nitaitwa nina dharau, namchukulia poa nk....

4.Akipiga simu ni lazima umuambie uko wapi na unafanya nini na kama akiona ana mashaka na unachosema ni lazima umuaminishe kwa kumtumia picha ya unachokifanya, au atapiga video call.

4.Kuna kipindi hakutaka ninunue simu janja, kwa mantiki ya kwamba nitakuwa naingia mitandao mbalimbali, instagram, jf whatsapp nk...

5.Muda wa kazi nikiwa nafanya kazi fulani, lazima atauliza namaliza saa ngapi nikivukisha muda ni kosa, utasikia anasema maisha mema, unajifanya upo busy

Declaration of interest, Mimi sio kibenten yeye ni mwanachuo na mimi nina harakati zangu nyingine mtaani.

Nipo nipo tu namsikilizia kwa sababu napata free p kupoteza muda kwa maana siwezi kuingia katika ndoa na mwanamke anayenitawala.

nipe experience yako.
Niliposoma mwanzo nikakuonea huruma

Lakini Niliposoma hadi mwisho, nikamuonea huruma demu,

Kumbe unamlia timing tu, hongera

Ila una uvumilivu, mimi siwezi hiyo
 
namlia timing tuuu mkuu hakuna mtu anakubali kufanywa zoba
 
Madam I've come across most of your posts, na kiukweli napenda sana style yako ya uandishi una style fulani ya uandishi kama ya Mange

Maybe because namkubali sana na style yake ya uandishi sijui maana bila kumfollow nahisi kama instagram yangu haijakamilika ila seriously hii post ndo imenifanya nihisi kama vile I'm reading one of her captions
labda ndio yeye
 
Wakuu habari za asubuhi.

Binafsi niko na mwanamke anayenitawala.

1.Kila kitu changu anataka kuelewa kinaanzaje na kinaishaje, hataki nifanye jambo lolote kama hajajua, endapo asipojua anaita kwamba nimemdharau.

2.Simu yangu hata kama nina maongezi na mzazi atasema kuwa mbona ninaongea muda mrefu, labda itakuwa ni wanawake, hawezi kuelewa kwa haraka, labda umtumie screenshot ya uliyekuwa unaongea naye.

3.Ratiba anataka ziende alivyozipanga yeye, akisema twende ni twende, ukisema una kazi fulani kwa muda huo, tayari huo ni ugomvi wa siku nzima, hapo nitaitwa nina dharau, namchukulia poa nk....

4.Akipiga simu ni lazima umuambie uko wapi na unafanya nini na kama akiona ana mashaka na unachosema ni lazima umuaminishe kwa kumtumia picha ya unachokifanya, au atapiga video call.

4.Kuna kipindi hakutaka ninunue simu janja, kwa mantiki ya kwamba nitakuwa naingia mitandao mbalimbali, instagram, jf whatsapp nk...

5.Muda wa kazi nikiwa nafanya kazi fulani, lazima atauliza namaliza saa ngapi nikivukisha muda ni kosa, utasikia anasema maisha mema, unajifanya upo busy

Declaration of interest, Mimi sio kibenten yeye ni mwanachuo na mimi nina harakati zangu nyingine mtaani.

Nipo nipo tu namsikilizia kwa sababu napata free p kupoteza muda kwa maana siwezi kuingia katika ndoa na mwanamke anayenitawala.

nipe experience yako.

Mkuu nipe namba yake nimrekebishe hiyo tabia na hakika utafurahi
 
Anakuminya pumbuu ili umuone anakujali sana wakati yeye ananyukwa hahahaha
 
Kuna kitu wanacho wadada hofu ya kuachwa inawezekana alipokupata wewe alipigwa chini na mtu mwingine sasa anishi kwa hofu yakuachwa sababu hajiamini AU alivyokupata wewe alikutoa kwa mtu mwingine hivyo hana uhakika sana na future yake hapo AU labda alikuwa na maisha flani kwenye mahusiano yaliyopita ambayo yana affect hali yake ya sasa AU kuna maisha ya mashindano anayaishi ili amaintain status fulani au kuna kitu anajua kuhusu wewe, tuwe makini tunapoishi na wenzetu akishakujua jua anakupangia hata jinsi yakupumua.
Pole yao mimi binafsi hata mwanamke angekua mzuri kiasi gani huwa nina ukomo wa kupenda na mambo nayoweza kuvumilia yaani mimi ku break up na mwanamke huwa ni dkk zero hata kama ntaugulia lakini siko tayari kuwa too royal kwa mwanamke aisee,anayovumilia jamaa simuelewi labda ni muoga au wanawake wanamdisi sana coz cwez pita siku cjayongoza mwanamke ila sio lazima kila anayetongozwa akubali na sio kila mtu atakataa
 
mimi sio muoga mkuu nimeamua kumchezea tu wakati natafuta wa unafuu
 
Vibao simchapi mkuu, ninaweza kuvumilia ujinga wake miezi tisa nimzalishe nimuache na mtoto ale jeuri yake
Hivi kwanini wanaume wengi mnapenda kuwazalisha wanawake kama adhabu? Kwahiyo siku hizi watoto wamekuwa siyo baraka tena bali ni adhabu tena kwa wanawake ambao wana mapungufu tu ya kawaida ya kibinadamu ambayo kila mtu anaweza kuwa nayo?

Umeshafikiria huyo mtoto baada ya kuzaliwa ataishije au kwa vile ni wa adhabu basi atajijua mwenyewe na mama yake? Nawasikiaga wanaume wengi wakisema hivi na binafsi nashindwaga kuwaelewa

Hebu fikiria wewe ndo ungekuwa huyo mwanamke umezalishwa mtoto na mwanaume eti ili tu akukomoe kwa sababu ya mapungufu yako au wewe ndo ungekuwa huyo mtoto ambaye ulizaliwa kama adhabu tu ambayo baba yako alimpa mama yako ungejisikiaje?

Probably haujafikiria hayo yote kwa sababu ya ubinafsi na tukisema wanaume ndo chanzo cha single mothers, wanawake wanaotoa mimba na watoto wa mitaani wengi mnakataa sasa hapo kuna ulazima gani wa kumzalisha? Unataka huyo mtoto aje kuteseka au? Kama haumpendi si uachane naye tu sasa unamzalisha ili jamii imcheke au ahangaike kupata mwanaume wa kumuoa au?
 
Yeye mwenyewe alishasema hata nikimzalisha hawezi kukosa wa kumuoa kwa sababu bado atakuwa analipa!

Sioni kikwazo
 
Mkuu wewe ni mtu mzima na nategemea hiyo kauli haujaichukulia kama ilivyo bali umeichambua kwa makini na kujua kuwa ameiongea tu bila kumaanisha na kama umeichukulia kama ilivyo basi bado haujatujua wanawake vizuri

Wanaume wenyewe wa kuoa single mothers wako wapi? Ndo hawa wanaokuja humu mitandaoni kila siku kuwatukana single mothers? Pengine haumuwazii huyo mwanamke lakini atleast muwazie huyo mtoto atakayezaliwa maana inaonekana hata huyo atakayekuja kuwa mama yake naye hajitambui
 
Back
Top Bottom