Ulishawahi kuwa na mwanamke anayekutawala?

Ulishawahi kuwa na mwanamke anayekutawala?

Kuna kitu wanacho wadada hofu ya kuachwa inawezekana alipokupata wewe alipigwa chini na mtu mwingine sasa anishi kwa hofu yakuachwa sababu hajiamini AU alivyokupata wewe alikutoa kwa mtu mwingine hivyo hana uhakika sana na future yake hapo AU labda alikuwa na maisha flani kwenye mahusiano yaliyopita ambayo yana affect hali yake ya sasa AU kuna maisha ya mashindano anayaishi ili amaintain status fulani au kuna kitu anajua kuhusu wewe, tuwe makini tunapoishi na wenzetu akishakujua jua anakupangia hata jinsi yakupumua.
 
Mkuu ebu kuwa kama mwanaume anza kubadilika sasa huyu alianza kukutawala toka enzi za uchumba hapo ndio ulichojiharibia

Wanaume wenzio wanaotawaliwa hawawezi kukubali ila wapo sema wengi watakutolea povu
 
Huyo sio mke wako anawezaje kukutawala kwa kiasi hicho?
Hebu kua serious asee.
 
[emoji848]
tapatalk_1545128381808.jpeg
 
Kuna kitu wanacho wadada hofu ya kuachwa inawezekana alipokupata wewe alipigwa chini na mtu mwingine sasa anishi kwa hofu yakuachwa sababu hajiamini AU alivyokupata wewe alikutoa kwa mtu mwingine hivyo hana uhakika sana na future yake hapo AU labda alikuwa na maisha flani kwenye mahusiano yaliyopita ambayo yana affect hali yake ya sasa AU kuna maisha ya mashindano anayaishi ili amaintain status flani........... au kuna kitu anajua kuhusu wewe, tuwe makini tunapoishi na wenzetu akishakujua jua anakupangia hata jinsi yakupumua.
[emoji23][emoji23]..mkuu hadi jinsi ya kupumua tena
 
Mkuu ebu kuwa kama mwanaume anza kubadilika sasa huyu alianza kukutawala toka enzi za uchumba hapo ndio ulichojiharibia

Wanaume wenzio wanaotawaliwa hawawezi kukubali ila wapo sema wengi watakutolea povu
Sijamuoa nazugia tu
 
Nilikuwa nikuulize maswali mawilizmoja ushajibu wewe sio kibenten sasa swali la pili huyo mwanamke ni wa kaskazini???

Maana vichaa wengi wanatoka kule??
 
Ni mnyakyusa kutoka mbeya
Hahahaa well, wanawake was wanyakyusa na wachaga hawana tofauti hasa wanyakyusa wa kyela.

We piga free p. Huku ukitafuta mwanamke was kueleweka hao wapo kupunguza hamu mkuu, hiyo Ndo faida yao
 
Hahahaa well, wanawake was wanyakyusa na wachaga hawana tofauti hasa wanyakyusa wa kyela.

We piga free p. Huku ukitafuta mwanamke was kueleweka hao wapo kupunguza hamu mkuu, hiyo Ndo faida yao
Nikipata nafasi ya kuipiga naipiga kweli mkuu yaani acha, anayalipia hayo na nilishasema simpi hata senti, hayo anayonitumikisha nayo ndio malipo kwisha
 
Kuna wivu wa aina mbili
1. Wivu wa Upendo wa kweli na
2. Wivu wa kujilinda ili asijulikane kama ni malaya.

Wengi huangukia namba mbili hapo.
Ni taabu tupu.
Aseeee nilikuaga na demu ana wivu balaaa nikajua yes nimepata anipendae alikua wap siku zote weeeee kilichokuja nitokea ciamin hd Leo...wanawake sio viumbe wa kuwaamin saaana
 
Back
Top Bottom