Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Itabidi nimstue mama matesha awe anapitapita humu. hii hali inatisha aisee.
btw, unaplan kuendelea au unajutia kucheat?
He! Mi nilifikiri unatafuta statistics. Sikujua nimeingia kwenye mtego wa hakimu/mchungaji Carmel. LOL imeshakula kwangu tayari!

BTW: Na umri huu nta-cheat saa ngapi? mtarimbo wenyewe mpaka upigwe jeki ndio unafanya kazi.
 
ha haaaaaaaaaa, kwa hiyo umeacha siyo, na hiyo ni baada ya mtarimbo kulala doro otherwise ungekuwa unaendelea. lol
Tuendelee ku-vote, am stepping outside kidogo.
btw: wapi Geof? Kaizer? De novo?....................... ladies vipi, mmeingia mitini? kweli hapa pagumu.
 
nikasirikie nini binamu? mi nataka ulete kwanza meaning ya cheating ndo tuone kama in relate na having ana affair before mariiage, thats all.

Kha sasa hapa nashindwa kuelewa cheating haipo before marriage?
Cheating is an act of lying, deception, fraud, trickery, imposture, or imposition.
Ukiwa na mchumba alafu pembeni unakifaa kingine hiyo sio cheating?
 
ha haaaaaaaaaa, kwa hiyo umeacha siyo, na hiyo ni baada ya mtarimbo kulala doro otherwise ungekuwa unaendelea. lol
Tuendelee ku-vote, am stepping outside kidogo.
btw: wapi Geof? Kaizer? De novo?....................... ladies vipi, mmeingia mitini? kweli hapa pagumu.

Hahaha! Mada ngumu hii. Inahitaji wajasiriamali wa miyo migumu kama mimi........
 
He! Mi nilifikiri unatafuta statistics. Sikujua nimeingia kwenye mtego wa hakimu/mchungaji Carmel. LOL imeshakula kwangu tayari!

BTW: Na umri huu nta-cheat saa ngapi? mtarimbo wenyewe mpaka upigwe jeki ndio unafanya kazi.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Suali lilivyo inaonyesha kuwa linahusu "walio-cheat", na kuacha ! wanaondeleza hilo game hili hawahusiki?
 
Sijaelewa mtoa mada anakata nini hapa! Is it a simple YES or NO???
 
sijawahi cheat, lakini pepo la kucheat linajiinua kwelikweli nadhani muda si mrefu ntaanza
 
Hivi kuna mtu ambae ha-cheat ktk dunia hii?
Nadhani jibu limepatikana hapo toka kwangu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom