Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Mambo ya nyota na neno la Mungu mbona hayaendani?
Au kanisa lenu ni miongoni mwa yale makanisa ya MPINGA KRISTO?
Je pete yaweza kuwa ulinzi wa ndoa yako??je ni neema ya mungu kukulinda na maovu ya tamzaa za dunia hii.,,yawezekana we ni mwathirka wa wizi w ndoa yako ama ndoa za watu karibu kawe ufufo na uzima jumapili kutakuwa na ibada maalum juu yenu ikiwemo kurudisha nyota zenu zilizopotea
 
mmmh hizo nyota mimi kila siku naziona angani na wala sikuweza kufanikiwa kuzihesabu nikajua idadi yake, sasa nitajuaje kama zimepotea au bado zipo zote? Na ukiniombea zikarudi nitaziweka wapi, nyumbani mwangu hakuna nafasi ya kutosha kuweka nyota, maana nasikia ni kubwa sana.
 
sijaelewa anaongelea nn
 
wa2 mna vi2ko humu!!!!lol
 
hahaha, ni kweli, nyota huwa zinaibiwa, huwa zinafunikwa, huwa zinaweza kung'ofolewa etc. jambo hili zamani lilikuwa siri, lakini sasaivi, wale waliokuwa wanaiba nyota za watu,wanang'ofoa nyota, wanasiliba nyota ya mtu isionekane etc, ndo wameokoka na kutoboa siri hiyo. ajabu ni kwamba, wale ambao hawajawahi kuwa washirikina, hawaamini kabisa jambo hilo, kumbe wao ndo wamebaki makopo tu. kila mtu huwa anazaliwa na nyota yake ambayo ndio hatima yake, na nyota hiyo inaweza kuchafuliwa au kufanywa lolote kama hauko ndani ya Yesu. wachawi na wasoma nyota etc ndo wanaweza kufanya hivyo.

Yesu alipozaliwa, mamajusi wa mashariki waliiona nyota yake katika ulimwengu wa roho, wakaiona kuwa ni nyota nzuri sana ya kifalme, wakajaribu kuiiba wakashindwa waliposhindwa wakaamua kuifuata ili walau wakamsujudie tu huyo mwenye nyota, ndo maana walifuata hadi Bethelehem alikozaliwa Yesu wakamsujudia.

wizi wa nyota ni wa aina nyingi. manesi na madaktari wanajua hili. kule muhimbili wakati wa kuzaliwa vitoto, ukiambiwa ngoja tukampime mtoto huwa wanaenda kukata kakitovu kidogo, wanapeleka kwa mganga anachukua nyota ya mtoto wako, waganga wa kienyeji wanaweza kuona kwenye ulimwengu wa roho nyota yako wakaja usiku ukiwa umelala wakang'ofoa. mfano. ...unaweza kuwa na nyota ya uongozi, au ya biashara etc, mganga anaiba alafu anakuwa nazo nyingi yeye kam ajenti wa shetani, mtu akija kwa mganga akitaka kusaidiwa ili awe kiongozi shupavu mwenye sauti, mganga anamwambia lete milioni kam ambili etc alafua namwuzia ile nyota ya uongozi , biashara etc. vitu hivi vipo. ajabu ni kwamba, watu hawajui, na wanaishi kwenye ulimwengu huu bila kujua adui yao.

mkuu wa ulimwengu huu ni shetani, alinyang'anya ukuu huo kwetu kwa Adamu alipofanya dhambi, Yesu alisema, the prince of this world is defeated and he has no power over me...shetani amekwisha kuhukumiwa, na hana nguvu kwa Yeus, na ukiwa ndani ya Yesu shetan hana nguvu kwako, ukiwa huna Yesu, shetani anaweza kukubadilisha na kukuchezea apendavyo.

Ukitaka kujua namna kazi ya uchangudoa ilivyo, nenda kwa ex-changudoa atakuambia kila kitu, ukitaka kujua namna uchawi ulivyo, nenda kwa x-mchawi utajua kila kitu. ukijifanya unajua kumbe unafikiria tu, utakuja ukwae kisiki na utadondoka usiamke tena. ukitaka kupigana na adui, mfahamu kwanza alivyo na mapungufu yake kila kitu. lazima tujue namna ya kupigana na shetani, namna shetani anavyofanya kazi na namna anavyotuharibia mambo yetu. Bwana Yesu asifiwe!
 
na hii wale wanaoenda kwa waganga wa kienyeji sana, ukifika tu mganga akiona wewe una nyota nzuri, anaiiba palepale, ni dili hilo kwake hawezi kuchelewesha. ukiangalia sana wale wanaopenda kwenda kwa waganga wa kienyeji, huwa wanaishia pabaya sana, mganga kawapiga changa la macho tu kwa muda, kumbe kang'ofoa kile chao cha kudumu. mimi zamani nilikuwa nimeburuzwa sana na shetani na wachawi, lakini sasaivi, ni mwanajeshi mzuri sana kupigana na shetani na wakala wake, hawaniwezi, na hawanigusi. ktk ulimwengu wa roho wachawi, waganga, washirikina, wasoma nyota, wakuu wa anga, wakuu wa giza falme na mamlaka etc hata wakitaja tu jina langu, ni sawa na wamelipua moto, Malaika wa Mungu atashuka na kuwasambaratisha, kuwafyeka na watakimbia na kikao chao kitaishia hapohapo...nenda kasome Hebrews 1:14, unaweza kutuma malaika wafanye kazi hiyo kwaajili yako.
 
hahaha, ni kweli, nyota huwa zinaibiwa, huwa zinafunikwa, huwa zinaweza kung'ofolewa etc. jambo hili zamani lilikuwa siri, lakini sasaivi, wale waliokuwa wanaiba nyota za watu,wanang'ofoa nyota, wanasiliba nyota ya mtu isionekane etc, ndo wameokoka na kutoboa siri hiyo. ajabu ni kwamba, wale ambao hawajawahi kuwa washirikina, hawaamini kabisa jambo hilo, kumbe wao ndo wamebaki makopo tu. kila mtu huwa anazaliwa na nyota yake ambayo ndio hatima yake, na nyota hiyo inaweza kuchafuliwa au kufanywa lolote kama hauko ndani ya Yesu. wachawi na wasoma nyota etc ndo wanaweza kufanya hivyo.

Yesu alipozaliwa, mamajusi wa mashariki waliiona nyota yake katika ulimwengu wa roho, wakaiona kuwa ni nyota nzuri sana ya kifalme, wakajaribu kuiiba wakashindwa waliposhindwa wakaamua kuifuata ili walau wakamsujudie tu huyo mwenye nyota, ndo maana walifuata hadi Bethelehem alikozaliwa Yesu wakamsujudia.

wizi wa nyota ni wa aina nyingi. manesi na madaktari wanajua hili. kule muhimbili wakati wa kuzaliwa vitoto, ukiambiwa ngoja tukampime mtoto huwa wanaenda kukata kakitovu kidogo, wanapeleka kwa mganga anachukua nyota ya mtoto wako, waganga wa kienyeji wanaweza kuona kwenye ulimwengu wa roho nyota yako wakaja usiku ukiwa umelala wakang'ofoa.. Bwana Yesu asifiwe!

Mkuu:

Wikiendi hii ulikunya kiriba kizima cha mvinyo?
 
hahaha, ni kweli, nyota huwa zinaibiwa, huwa zinafunikwa, huwa zinaweza kung'ofolewa etc. jambo hili zamani lilikuwa siri, lakini sasaivi, wale waliokuwa wanaiba nyota za watu,wanang'ofoa nyota, wanasiliba nyota ya mtu isionekane etc, ndo wameokoka na kutoboa siri hiyo. ajabu ni kwamba, wale ambao hawajawahi kuwa washirikina, hawaamini kabisa jambo hilo, kumbe wao ndo wamebaki makopo tu. kila mtu huwa anazaliwa na nyota yake ambayo ndio hatima yake, na nyota hiyo inaweza kuchafuliwa au kufanywa lolote kama hauko ndani ya Yesu. wachawi na wasoma nyota etc ndo wanaweza kufanya hivyo.

Yesu alipozaliwa, mamajusi wa mashariki waliiona nyota yake katika ulimwengu wa roho, wakaiona kuwa ni nyota nzuri sana ya kifalme, wakajaribu kuiiba wakashindwa waliposhindwa wakaamua kuifuata ili walau wakamsujudie tu huyo mwenye nyota, ndo maana walifuata hadi Bethelehem alikozaliwa Yesu wakamsujudia.

wizi wa nyota ni wa aina nyingi. manesi na madaktari wanajua hili. kule muhimbili wakati wa kuzaliwa vitoto, ukiambiwa ngoja tukampime mtoto huwa wanaenda kukata kakitovu kidogo, wanapeleka kwa mganga anachukua nyota ya mtoto wako, waganga wa kienyeji wanaweza kuona kwenye ulimwengu wa roho nyota yako wakaja usiku ukiwa umelala wakang'ofoa. mfano. ...unaweza kuwa na nyota ya uongozi, au ya biashara etc, mganga anaiba alafu anakuwa nazo nyingi yeye kam ajenti wa shetani, mtu akija kwa mganga akitaka kusaidiwa ili awe kiongozi shupavu mwenye sauti, mganga anamwambia lete milioni kam ambili etc alafua namwuzia ile nyota ya uongozi , biashara etc. vitu hivi vipo. ajabu ni kwamba, watu hawajui, na wanaishi kwenye ulimwengu huu bila kujua adui yao.

mkuu wa ulimwengu huu ni shetani, alinyang'anya ukuu huo kwetu kwa Adamu alipofanya dhambi, Yesu alisema, the prince of this world is defeated and he has no power over me...shetani amekwisha kuhukumiwa, na hana nguvu kwa Yeus, na ukiwa ndani ya Yesu shetan hana nguvu kwako, ukiwa huna Yesu, shetani anaweza kukubadilisha na kukuchezea apendavyo.

Ukitaka kujua namna kazi ya uchangudoa ilivyo, nenda kwa ex-changudoa atakuambia kila kitu, ukitaka kujua namna uchawi ulivyo, nenda kwa x-mchawi utajua kila kitu. ukijifanya unajua kumbe unafikiria tu, utakuja ukwae kisiki na utadondoka usiamke tena. ukitaka kupigana na adui, mfahamu kwanza alivyo na mapungufu yake kila kitu. lazima tujue namna ya kupigana na shetani, namna shetani anavyofanya kazi na namna anavyotuharibia mambo yetu. Bwana Yesu asifiwe!

Naona ndugu yangu wewe ulipitia uganga wa kienyeji au uchawi. Maana yute unayosema na kuyaingiza kwenye Biblia kitabu cha Mungu si ya kweli kabisa. Mamajusi kutaka kuiba nyota ya YESU, hii ni uongo mkubwa. Nyota katika biblia inahusianishwa na ushirikina na mamajusi wale walikuwa ni miongoni mwa washirikina wakubwa. Lengo lilikuwa kumuua mtoto YESU. Ndio maana hata leo wanajimu wote ni washirikina na hawata ridhi ufalme wa Mungu.
 
Hivi wewe si umeulizwa toka nje ya ndoa mara ngapi?hii ngonjera yako imetoka wapi tena?
 
Jibu swali: UMETOKA NJE YA NDOA MARA NGAPI?acha ulevi wako!
 
Naona ndugu yangu wewe ulipitia uganga wa kienyeji au uchawi. Maana yute unayosema na kuyaingiza kwenye Biblia kitabu cha Mungu si ya kweli kabisa. Mamajusi kutaka kuiba nyota ya YESU, hii ni uongo mkubwa. Nyota katika biblia inahusianishwa na ushirikina na mamajusi wale walikuwa ni miongoni mwa washirikina wakubwa. Lengo lilikuwa kumuua mtoto YESU. Ndio maana hata leo wanajimu wote ni washirikina na hawata ridhi ufalme wa Mungu.

nisingeongea masuala haya kama siujui uchawi. nimekwambia toka mwanzo kuwa, ukitaka kufahamu namna ya uchangudoa, kamwulize mtu aliyekuwa changudoa akaacha. hapo ndo utapata jibu kamili.

sijabisha, mimi nimesema kuwa, nyota huibiwa na wachawi, waganga na washirikina, na hao mamajusi walikuwa ni wachawi na washirikina kabisa waliokuwa, yaani wasoma nyota kama livyokuwa shehe yahya vile...na waliiona nyota ya Yesu tangu mbali wakaifuata. hao ndo walikuwa wataalamu wa kichawi wa enzi zile. nisome na kunielewa. tatizo ni kwamba, wewe hauijui elimu ya huko...sisi wenzio tumetoka huko, tumeacha na kuokoka na kumpokea Yesu, sasa tukiwaambia nyie ambao mnaishi kwenye ulimwengu bila kujijua, ndo hamuelewi...dawa yake ni kwamba, wenye masikio ya kusikilia watasikia, watampokea Yesu na utakuwa ndo ulinzi wao...wenye mioyo migumu, ni kuwaacha afu wakikwanguliwa na wasoma nyota, wadunde maisha ndo watapata akili badaye.

kwahabari ya topic, SIJAWAHI KUTOKA NJE YA NDOA, NA SITEGEMEI KUTOKA NJE YA NDOA. NIMTENDEJE MUNGU WANGU DHAMBI KUBWA NAMNA HII, NIMSALITIJE MUNGU WANGU ANAYENIONA DHAMBI KUBWA NAMNA HII? NAMHESHIMU MUNGU WANGU, NA SITAMSALITI KWA HILI. uzinzi ni dhambi ya kujitakia, mtu anakuwa yuko huru kabisa azini au asizini. mtu akiamua kutokuzini, inawezekana na mtu akiamua kuzini inawezekana,,,,hivyo sitafanya jambo kama hilo. Mungu anisaidie.
 
mimi nina mke na nimeshawahi kucheat na msichana siyo mke wa mtu ila nimemwambia yule msichana mimi na yeye basi,nimeamua kutulia na mke wangu, hataki kusikia ni kuniandikia sms za vitisho kwamba atamweleza mke wangu, basi ni vurugu tupu.
 
pole ndo tatizo la kuanzisha mahusiano wakatio una wako wa kufa na kuzikana. Tatizo umemwonjesha mwezio asali, sasa anajiandaa kuilamba kwa nafasi we unampiga stop, lazima akusumbue.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom