Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by carmel, May 27, 2010.

?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

 1. *

  NDIO

  48 vote(s)
  60.8%
 2. *

  HAPANA

  32 vote(s)
  40.5%
 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sijui jinsi ya kuweka poll hapa, hope mods will do the needful.

  Naomba tu kujua wangapi humu kama wako kwenye ndoa na kwa umri wa ndoa zao wameshaengage in sexual activities na watu tofauti na wenza wao. (cheating). Na pia kwa wale ambao ni singles, wangapi wamesha cheat na waume au wake za watu? Kuweni free tu ili tujue statistics za hapa Tz kwenye hili swala, tusibishanie maneno. Kwa vile wengi sana wanasema its normal to cheat i hope hatutaogopa kuvote hapa.
  Kwa mfano. kama wewe ni single sema "mimi ni single sijawahi au nimewahi kucheat na mke au mume wamtu"
  kama wewe ni married sema ' Mimi ni married na nimesha wahi kucheat mara kadhaa"

  Pia addition information unaweza kutueleza uliewahi kucheat naye ni same person au different people over a certain time, hata sababu zilizokupelekea kucheat pia would be appreciated. Je spouse wako alijua, aliwahi kuhisi au amelala usingizi wa pono, yani hajui kinachoendelea.
  Tuwe wakweli basi. thanks.
   
 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  naona mnaogopa why? just say the truth people.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Sijui kama kuna mtu atatoa ushiriakiano hapa :A S 11:
   
 4. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  umewaweza! Ila basi iwekwe ikae ki- poll ili tukokotoe mahethabu vidhuriiiii....
   
 5. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Anza kujitolea mfano basi.!
  si unajua wabongo huwa wagumu mpaka mmoja ajitoe kafara nao watafuatia au umesahau enzi zetu klasi mwalimu akiuliza swali watu wote kimya wanaogopa kujibu hata kama wanajua lakini aibu inakuwa imetawal kwenye nyuso zao.
  Mpaka ticha aseme wewe Fidel hebu tujibie hili swali.!
  By the way niko na mwenza nyundo moja imetia sasa sijawahi kutoka nje japo sometimes huwa nakabwa napata majaribu sana.
  si unajua macho hayana pazia lakini kikubwa naogopa nisije leta maradhi home na hali ilivyo inaeleweka usalama wa kuruka ruka hovyo ni mdogo ni hicho tu.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Useme ukweli usutwe?
  Watu wanamegana kama kawa lakini wakija hapa wanaruka vihunzi.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mzee Kobe yeye kesha weka wazi kwenye Topic yake ile inayo hit.
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sijui jinsi ya kuiweka hivo nisaidieni pls. Watu mitini lol.
   
 9. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  haya bwana. Mimi tangu niseme "i do" nathamini kile kiapo, ndicho kinachoniongoza, sijacheat, na sitacheat.
   
 10. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  watu wanafisadi hadi kwenye mahusiano yao, Bongo kweli hali mbaya sana kwa nchi mpaka wananchi wake.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Na wewe unakuwa kama mgeni hapa? Haya wasiliana na vijana wa kazi kwa kutuma email hapa support@jamiiforums.com
   
 12. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Nakubali carmel ila tuombe mungu sana atukinge tusije jikuta tumetumbukia huko, mi hasa nafeel sana kwenda na mwenzangu kwenye starehe yetu hali ya kuwa tuna amani unapita dry chama mpaka kawe lami tupu hali imetulia,sio kama kutembelea barabara mbovu wakati mvua inanyesha inakuwa kero halafu huwezi kufurahia safari yako manake mara uogope tope kukurukia huku umejifunika na mwamvuli.!
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,015
  Trophy Points: 280
  Mimi Nimeoa. Ndoa yangu ina miaka kumi.
  Kabla sijaoa nimeshawahi kumcheat mchumba wangu kwa wasichana wengi
  Ndani ya ndoa nimeshacheat na wasichana kadhaa,
  Sijawahi kucheat na mke wa mtu (labda kama kati ya hao kadhaa kuna kadhaa walionidanganya kuwa hawajaolewa), wala na mwanafuzi wa praimare au sekandari, wala na mwanamke aliyenizidi umri.

  Ahsanteni kwa kunisoma................:target:
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,015
  Trophy Points: 280
  Na kabla ya kiapo?
   
 15. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Tumekusoma thenkyu sana ila uache tena hzo cheating bana hali sio nzuri mkuu utapunguza malengo ya familia.
   
 16. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kabla ya kiapo sijawahi kutoka na mume wa mtu, nilitoka na single tu.
   
 17. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mimi nipo kwenye ndoa kwa miaka 5!

  Kabla ya ndoa nilisha cheat na kuvunja relationships kadhaa lakini si kwa huyu niliye naye mojawapo ni partners walioishi kwa muda(asa cjui kama anakolifai kuitwa mke wa mtu); na kama nilivyoweka wazi kwenye kuadhimisha Miaka 5 nimemcheat mwenzangu mara 1 na najutia sana kitendo changu; Hata leo nikumbuka najisikia vibaya naam ni malipo ya kwenda kinyume najua!

  Nachoshukuru ni kupata msamaha wa kweli kutoka kwa mwenzangu pasipo masharti wala kinyongo (Ilitokea tukiwa na 3yrs). Ndio maana niko mstari wa mbele kuwaomba na kuwaasa wenzangu wasijitumbukize huko ni balaa tupu kama sio laana kabisa!
   
 18. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Itabidi nimstue mama matesha awe anapitapita humu. hii hali inatisha aisee.
  btw, unaplan kuendelea au unajutia kucheat?
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo hapo ulicheat sio? Kwa nn usinge subili mpaka harusi?
   
 20. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  umeeleweka, hope utakuwa balozi mwema.
   
Loading...