Mtani nisaidie Mbona uzi wa kifo cha huyu member umefutwa tena?Kiukweli huu msiba wa JF sina sympathy nao.
Nacheki tu hapa utaisha vipi.
Mtani nisaidie Mbona uzi wa kifo cha huyu member umefutwa tena?
Mana nilikuwa naupitia saa hii naona haupo tena kulikoni?
Hatari mnoKashatuuza jamaa.
Contexts zinatofautiana ndugu...anaweza kuwa mshauri mzuri hapa jamii forums lakini akawa mke asiye bora (ni mfano tu)He who finds you as his wife, finds a good thing, And obtains favor from the LORD.
Ubarikiwe sana Cariha.
Kwanini unawaza negative hivoContexts zinatofautiana ndugu...anaweza kuwa mshauri mzuri hapa jamii forums lakini akawa mke asiye bora (ni mfano tu)
Nimesema tu ni mfanoKwanini unawaza negative hivo
Haya bwanaNimesema tu ni mfano
Sorry if kwa namna yoyote sijaeleweka vizuri...ngoja nikuonjeshe mfano mmoja kati ya mingi niliyonayo...ninaye shemeji yangu mmoja anawapenda sana ndugu wa mme wake...anawajali sana na amekuwa msaada mkubwa kwao. Lakini sasa huyo dada kwa mme wake ugomvi na visa haviishi na yeye ndo source....Haya bwana
It is said nigga is alive and well, just wanted a new beginning. The only problem? He couldn't just ditch this Id so he used his another Id to announce he is dead.Only if he could understand this maskinii .
Only if.!!..
Why am I crying though???😭😭
Rest easy Umomi, Pole that tulikupuuzia.!!
Nimekuelewa Sana mkuu ulichomaanisha, Ila kwa case ya huyo dada ukute mumewe ndo shida na ujue mahusiano Yana Mambo mengi, pia kugombana na kutofautiana ni maisha ya kila siku, eeeh Cha msingi ni kukaa chini na ku solve tatizo lisiwe la kujirudiaSorry if kwa namna yoyote sijaeleweka vizuri...ngoja nikuonjeshe mfano mmoja kati ya mingi niliyonayo...ninaye shemeji yangu mmoja anawapenda sana ndugu wa mme wake...anawajali sana na amekuwa msaada mkubwa kwao. Lakini sasa huyo dada kwa mme wake ugomvi na visa haviishi na yeye ndo source....
Sijui kwann nikiona comments zako mwili unaisisimka kimahaba.....! Something about you....Wewe unahitaji msaada mkubwa kulingana na mada zako unazozianzisha humu, be careful zidisha Sala Sana, Mungu akusaidie kwa kipindi unachopitia
[emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kwann nikiona comments zako mwili unaisisimka kimahaba.....! Something about you....