Acha tu jose nimejifunza sanaUko sahihi, usipende watu wakujue sana kihivyo sometimes ndio haohao wanakuja kukuzushia mambo mengine ambayo hata hujayafanya
Ndio hivyo watasema yote ila KWENYE UKWELI uongo HujitengaAcha tu jose nimejifunza sana
Kumbe ndio wewe niliehadithiwa nishakujuaNakumbuka kipindi fulani niko shuleni kuna demu mmoja nilikuwa na kabifu nae ka chini chini kabisa yule alikuwa rafiki angu sana,akasema mimi mjamzito na ni muathirika nina ukimwi. Nilikuwa nalia kila siku Dom watu wananicheka balaa,tena shule ya girls umbea unasambaa kama moto wa petrol kila kona unanyooshewa vidole. Nakumbuka nilimfata nikamuuliza kwanini unanizushia tuhuma hizi,mbele za watu huku akipaza sauti akasema ndio wewe una mimba na ukimwi kwani uongo? Watu walinicheka,walinizomea na kunisema vibaya juu ,Niliishiwa pozii hata ya kunyanyua mguu kutoka sikuwa na nguvu hiyo, kuna dada alikuwa anatuzidi darasa ndio akaja kunitoa. She please me mpaka nikaacha kulia lakini moyoni nilikuwa na hasira kali na yule demu. Nikaenda kwa matron nikamwambia nataka kupima ukimwi,matron alishangaa balaa akamuita mwalimu wa malezi still nika insist nataka kupimwa,wakanipeleka kufanyiwa counselling na mshauri wa wanafunzk nikagoma na kusimamia msimamo wangu ikabidi siku ile ile wanipeleke hospital wanipime,nikakutwa sina maambukizi wala mimba hapo nikaliamsha dude maana sikusema lolote kwao nilisubiri mpaka nipimwe wawe na uhakika. Ilikuwa bonge la kesi akaambiwa aniombe msamaha assemble maana alitangaza taarifa za uongo karibia shule nzima ilijua, watu wakaanza kumzomea alivyokuwa anajielezea kwamba kanizushia sababu ya kibifu chetu kisicho na kichwa wala miguu.
Sitasahau ile ishu aseeee.
Hata kama mtu unamchukia vipi huwezi mkebehi stairi hii. Fikiria kama wewe mzazi then watoto wako wakaiga tabia yako...... basi wote watakuwa ma babieiiiiiiiiiiis..Mie nina hasira sana watu hadi leo wananisingizia eti EDWARD LOWASA "ni mtu wangu" ila basi tu, itabidi sasa nifanye kweli
Hahaha watoto wa kike bana..Nakumbuka kipindi fulani niko shuleni kuna demu mmoja nilikuwa na kabifu nae ka chini chini kabisa yule alikuwa rafiki angu sana,akasema mimi mjamzito na ni muathirika nina ukimwi. Nilikuwa nalia kila siku Dom watu wananicheka balaa,tena shule ya girls umbea unasambaa kama moto wa petrol kila kona unanyooshewa vidole. Nakumbuka nilimfata nikamuuliza kwanini unanizushia tuhuma hizi,mbele za watu huku akipaza sauti akasema ndio wewe una mimba na ukimwi kwani uongo? Watu walinicheka,walinizomea na kunisema vibaya juu ,Niliishiwa pozii hata ya kunyanyua mguu kutoka sikuwa na nguvu hiyo, kuna dada alikuwa anatuzidi darasa ndio akaja kunitoa. She please me mpaka nikaacha kulia lakini moyoni nilikuwa na hasira kali na yule demu. Nikaenda kwa matron nikamwambia nataka kupima ukimwi,matron alishangaa balaa akamuita mwalimu wa malezi still nika insist nataka kupimwa,wakanipeleka kufanyiwa counselling na mshauri wa wanafunzk nikagoma na kusimamia msimamo wangu ikabidi siku ile ile wanipeleke hospital wanipime,nikakutwa sina maambukizi wala mimba hapo nikaliamsha dude maana sikusema lolote kwao nilisubiri mpaka nipimwe wawe na uhakika. Ilikuwa bonge la kesi akaambiwa aniombe msamaha assemble maana alitangaza taarifa za uongo karibia shule nzima ilijua, watu wakaanza kumzomea alivyokuwa anajielezea kwamba kanizushia sababu ya kibifu chetu kisicho na kichwa wala miguu.
Sitasahau ile ishu aseeee.
Hahaaaa, hii yako kali zaidi!Haya mambo ya kusingiziana si mazuri, mimi walishawahi kunisingizia natembea na beyonce, hii sikuipenda kabisa
Kabisa joseNdio hivyo watasema yote ila KWENYE UKWELI uongo Hujitenga
Ha haha, fanya kweli aise uwakomoeMie nina hasira sana watu hadi leo wananisingizia eti EDWARD LOWASA "ni mtu wangu" ila basi tu, itabidi sasa nifanye kweli
Pole mwaya SakayoDaaah
Pumzika kwa amani!!!! Sijawahi singiziwa jambo kubwa kama lile mimi jamani, umri wa miaka kumi na sita mama mtu mzima mwenye uwezo wa kunizaa... Inaniuma mpaka Kesho lakinii Mungu ndo ajua yote.
Pumzika tu mama kwa amani... Ulinifanya nione dunia chungu, kipigo nilichopata ndo hicho ulichokipata mpaka umauti ukakufika na mtu huyo huyo alonipiga mie!!!!
Pumzika kwa amani, kisa tu barua aloandika nduguyo wa kikee akimsaidia mwanao kuniandikia mimi ili tu nimkubali kwa hand writing nzuri!!!! Loooh mumewe alinipiga si kawaida!!!!, kwa kuaminishwa tuu namrubuni mwanae. Mamangu nae hakutaka kunielewa mama ukaniongezea kipigo tena!!!! Mama najua hakuwa na lengo baya mama, Nilikusamehe na Nakupenda mnooo Mamangu!!!
Utakuwa uliuza wewe unaonekana janjajanja sanaKiufupi tu nilisingiziwa nimeuza mbuzi wa nyumbani, sitakaa nisaau
Yap yapKabisa jose