

maybe ,maybe not , mkuu unaweza kuta ulipatana na mtu choka mbaya akakuomba msaada wa kitu unakiweza ukapuuza kumbe ndo malaika huyo .wengi tunangoja kiumbe na mabawa ,
Nikupe kisa kingine cha pili ...
2019 kabla corona tu nlikuwa nimesua kiuchumi sana kuna rafiki wa dhati alinitapeli hela kubwa sana nikiitamka utaona nadanganya.
Sasa banae njiani nkitoka kusini kulikuwa kunanyesha nlipatana na majamaa wawili barabara ya mwitu kona kuu .
Wakanisimamisha wakiomba lift , nlihofia ila nkaskia sauti flani hivi siwezi ielezea ikaniambia hao usiwapite niwema.
Nikawapa lift almost kilomita 70 hvi wakashuka ,njiani tulipiga gumzo sana kuhusu uchumi n.k. walishuka wakiniombea baraka nyingi kwa usaidizi .
Waliposhuka tu kumbuka ni usiku na mataa ya gari yapo on na tulikuwa mbali na mijengo kama mita 400 hvi kugeuka nipige mlango wa nyuma lock nikiangalia mbele hawapo ,nkajiambia yaani sekunde 3 napiga lock wamefika kwa yale majengo ila nkapuuza .
Mwezi ule mkuu hela ilinikimbiza kweli kweli , inshort ile gap ya pesa sikuimaliza ila ilibakia kiasi ambacho kule kusua kuliisha .
Malaika anakuja kwa njia nyingi kukupima imani ,wengi tunafeli mitihani midogo sana