Ulishawahi kununua/agiza iphone kule Apple store?

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Habari, nataka kuagiza simu ya apple kule apple store, nataka kujua kama kuna mdau yeyote alisha wahi agiza na changamoto zipi alipitia mpaka kuipata..

1. Gharama ni ile ya pale uliolipia naada ha ku checkout au kuna ziada baada ya kufika

2. Ilikuwaje? Hukubadilishiwa? Ilikubali kwa network zetu za bongo?

N.K ….
 
2. Ilikuwaje? Hukubadilishiwa?
Hiki kitu hakipo, kitu unacho nunua ndio kinachokufikia.
Ilikubali kwa network zetu za bongo?
Ndio inakubali.
1. Gharama ni ile ya pale uliolipia naada ha ku checkout au kuna ziada baada ya kufika
Ukishaweka item kwenye cart, wkati unakamilisha malipo utaona total cost, ikiambatanishwa na shipping cost.

Karibu : Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Back
Top Bottom