Baada ya ku graduate nimerudi zangu bomani,katika harakati za kusaka ndogondogo nikafungua ka movie library cha kiwaki tu pale, series zilizo tafsiriwa +miziki na single movie.
Wakati nategatega pale kuna msista mmoja pisi kali akawa mteja angu zikaivana sana,kuzoeana.
Kiporo hampashi?
 
Kimasihara last week alihamis napokea namba ngeni ya kupokea ni lafudhi ya kihindi Ila kwa kingereza akinihitaji kuhudhuria Jambo flani jiji la Amos Makala nikamjibu sawa nitafika bila kukosa,kumbuka Mimi nipo makao makuu ya chama na Serikali. Ijumaa saa 12 napokea simu ya mfanyakazi mwenzangu ananiambia anauguliwa so Kuna kazi anaomba nimsaidie kuatend wateja wake watafika ofisini,nikasema afadhali nimepata na hela ya Safari Kama watafika mapema ..

Nikajiandaa nikaenda ofisini saa mbili wateja wakafika wakalipia mzigo walikuwa wanataka nikakata hela ya ofisini nikampa muhasibu kilichozidi chote chetu by the way kazi tunayofanya ni mauzo unapewa bottom price so wewe unaongeza chako Cha juu kinachozidi ni halali yako. Baada ya hapo nikampigia jamaa yangu aliyenipa kazi nikamwambia kilichopatikana akaniambia chukua kiasi flani kinachobaki nimtumie biashara ikaisha.

Nikaenda home nikachukua begi mida saa 6 kurudi town ni saa 7 nikaulizia magari yote yamejaa,nikaenda CBE pale kutega private kufika pale abiria kibao sababu kubwa ilikuwa ijumaa Tena ya mwisho wa mwezi abiria kibao.. kaa pale mpaka saa 11 magari ya shida mengi yanaishia morogoro badae Sana likaja bus limechoka mno nikasema napanda hilo hilo mradi nifike ndinga imejaa abiria wa kanda flan wanaokula kila kitu kwenye bus hali hii huwezi kuiona ukipanda shabiby au abc nk. Gari spana mkononi tumefika Moro saa nne usiku...wakaanza kurekebisa tena tumekaa pale masaa mawili mpaka saa sita usiku.

Kula kimasihara sasa baada ya gari kukamilika abiria wakaanza kupanda hapo ndo nikaona mdada flani mbele yangu anapanda ngazi nikaona mbona huyu atanifaa kimasihara Ila sikumzingatia Sana nikaenda kukaa Safari ikaanza.

Kufika dar Magufuli stend ni saa tisa usiku konda akasema hapa ndo mwisho wa safari..nikasikia yule mdada analalama mbona mlisema mnatushusha ubungo bahati nzuri ndio nilikuwa nashuka ngazi kumbuka yeye alikuwa amekaa mbele kabisa,nikamwambia usijali ntakupeleka unapoenda shuka utanikuta chini,aliposhuka tu nikamfata akasema anampigia dada yake hapokei nikamwambia twendwe tuchukue lodge tupumzike kesho tuwatafute ndugu zetu.

Akasita sita baadae akakubali kishingo upande nikachukua bajaji nikamwambia nipeleke Lodge iliyo karibu nzuri,kufika nikuoga na kula bao zangu mbili saa 12 nikamalizia morning glory nikachukua namba yake sijampa yangu na sijamtafuta mpaka leo..alikuwa mtamu Sana..kimasihara inaishia hivyo jina simjui nikampa nauli akasepa nikaendelea na mishe zangu..Nawasalimu kwa jina la kula tunda kimasihara..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom