Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

kuna manzi nilikua nakaaa nae nyumba moja miaka kama 6 iliyopita.

alikua ni pini kweli kiukweli nilikua namtamani jinsi ya kumuingia ulikua mtihani....ofcourse tulikua watu wa kusalimiana basi kila mtu na mishe zake...kulikua kuna group la WhatsApp wapangaji wote tulikua mule...nakumbuka kulikua na kikao cha wapangaji siku moja nikatoa udhuru kwenye group kwamba sitaweza kufika naumwa....


yule demu akanifuata inbox kwamba naumwa nn..nikamjibu naona aibu hata kukuambia naumwa ugonjwa ambao hata kuuelezea mtihani akanifosi sana nimwambie(kiukweli sikua naumwa kitu nilikua nazngua tu).
.

ikabd nimwambie nna mwezi uume wangu hausimami hata nifanyaje(nilitunga ugonjwa ili kumzngua) demu akaenda hewani ile napokea nikawa kama nalia...nalalamika sijui nimekumbwa na nini bla bla kibao demu akawa ananionea huruma sana....akasema anatamani anisaidie ila hajui afanyaje akanishauri hospital nikamwambia nimeenda sana lakini hakuna mafanikio....


Story story pale akasema akitoka job atakuja kunichek kwangu heeeee ushetani ukanivamia rasmi nikawa nawaza jinsi ya kumkula...kweli alivyotoka job akaja mpaka gheto.kwangu ilikua usiku kama saa2...ndugu nilijifunika blanketi natetemeka uongo uongo mixer machoz.......daaaah nguvu ya papuchi ni kubwa


basi alinionea sana huruma sana akasema hana jinsi ya kufanya...nikamuomba kitu na yy akakubali kitu bila kujiuliza mara mbili...nikamwambia naomba uishike huenda leo itajitahd kufuction..basi akachukua mkono wake wa kulia akawa anagusa gusa bwana mnaraa huooo kama umeme umerudi....alishtuka na mimi nikajifanya kustuka na kufurahi sana...nikamuomba aendelee kushika huku na yy namshika basi picha linaisha akaliwa kimasihara na mimi mgonjwa...


baada ya kumaliza anauliza ulikua serious au ulikua na mbinu zako huku nalia nikamwambia mama milikua serious na ww ndio umeniokoa..
..sijui kama aliamini

ila picha liliisha hivyo.....


NADHANI HAYA NI MASIHARA


AU NYIE MNASEMAJE NDUGU ZANGU
Duh hii kali ya January asee!!
 
Ebwanaee,,,

Mwaka jana mwezi wa 9 alihamia demu hapa jirani ninapokaa,Huyu demu alikuwa kahamishiwa kikazi tu,Hivo akawa amepanga nyumba hapa jirani na ninapokaa,Demu alikuwa mkali kinoma,yani kama kajala, sema yeye hakuwa na mwili mkubwa kama ule,Demu chocolate color flani,alafu nyuma ndo usiseme.

Sasa kilicho kuja kunivunja moyo kwa huyu Demu ni kuwa alikuwa na jamaa yake alafu good life kinoma,kila jioni unamuona jamaa huyu hapa na prado yake alafu ukizingatia mimi hata bike sina😭😭,Kila jioni nikawa namshuhudia jamaa anakuja na ndinga yake anaingia ndani kwa yule demu alafu anatoka saa 2 Usiku,nikajisemea huyu jamaa atakuwa na mke ila huyu demu ni mchepuko wake.

Kadri siku zilivyo kuwa zina zidi kusonga ndo huyu demu akazidi kuwa mzuri kinoma,yani nikawa namtamani ila sasa fala nitaanzia wapi hasa ukizingatia jamaa yake ana kila kitu,Basi nikawa najisemea kimoyo moyo "Haya ni maisha tu",,Si unajua sisi makapuku tunavyo penda kujitia moyo🤣🤣,

Basi bwana,mimi nikaendelea na mambo ya gym labda huenda ipo siku atavutiwa na mimi kwa body mana kama ni hela sina,

Mara huyu demu nikamuona tayari ana gari Toyota wishi,pale pale mawazo ya kumpata huyu demu yakanitoka na nikawa nimeamua kumpotezea,Huyu demu hapa kitaa alikuwa hana mazoea na mtu,Basi watu wote wakawa wana msema anadharau.

Mimi nikaendelea na ajira yangu niliyo kuwa nimeipata nikaachana na kumuwazia huyu Demu,ila kila nikimwona jamaa yake akija roho inaniuma nikawa natamani nivizie wakiwa ndani nikapasue pasue prado yake🤣🤣,haya mapenzi nyie acheni tu.

Basi bwana,,,Wahenga walisha sema ridhiki haipotei,

Siku moja nimekaa zangu kibarazani jioni baada ya kutoka job,huku najiandaa kuingia gym nikamuona huyu dada anakuja kwangu,Daah mhuni nikatamani kukimbia nikijua huu utakuwa uchawi,Ila nikajisemea,potelea mbali uchawi huwa hauji kwa mentali.

Demu mpaka akafika pale tukasalimiana na akawa amekaa,tukapiga stori mbili tatu ikiwa ni pamoja na kuniulizia mambo yanayo husu mtaa wetu,ndo nikagundua kumbe demu mwenyewe yuko peace tu,mcheshi na anapenda stori kinoma,Baada kama ya nusu saa akaniaga kuwa anaenda kupika cha usiku,tukaagana akasepa na mimi nikasepa zangu gym.

Wiki yote hiyo kila akitoka job akawa lazima aje kwangu tupige stori ndo aende kwake,Mara akawa ananiambia nisipike atapika yeye,ikaenda hivo mpaka mwezi mzima tukawa tumeshakuwa washikaji kinoma,yani weekend tunapika wote na kupakua ila yeye akawa anataka kumjua girlfriend wangu,Na mimi baada ya kuzoeana na huyu demu sikutaka tena mazoea na mademu wengine mana wangeniharibia,sasa nikiwa ninataka kuwa na demu nampeleka kwingine tofauti na hapa kwangu.

Huyu demu akawa muda mwingi ni kuvizia simu yangu ili aone kama nina mwanamke,yani akawa ni mtu wa kunifuatilia sana,nikawa najisemea "siku yako ina wadia kuliwa na mhuni".

Ikumbukwe licha ya hayo mazoea lakini jamaa yake alikuwa anaendelea kuja tu wana enjoy mle ndani,nikawa naumia tu sasa nitafanyeje,na jamaa nae tukawa tumezoeana kila akija lazima aje kunipa hai na stori mbili tatu then anasepa zake.

Siku moja mhuni niko zangu bafuni nikasikia kama kuna mtu kaingia sebuleni,ile nachungulia nikamwona demu kashika simu yangu ndo anataka kupekua pekua,daah nikasema simu sawa ina password lakini hizi tecno text ikiingia lzm iwe pale juu ya scrin,na niliingia bafuni nikiwa nachat na mademu wawili hivo nikasema wataniharibia,pale pale nikajifunga taulo nikatoka nduki kumpokonya simu,akawa anakimbia,tukaanza kukimbizana ndani kama wapenzi,mara nikamdaka nikamuweka mbele yangu,mara simu kaibana mapajani kwake,hapo ukumbuke tako lote liko mbele ya mashine yangu na nimevaa taulo tu na yeye kavaa kanga na kisinglend chepesi,Kila nikitaka kumpokonya simu anaishusha,na hapo wazo la simu likaanza kupotea kichwani mwangu,nikachungulia huku na kule nikaona potelea mbali,nikaanza kumtomasa maziwa,tumbo,,mara nikaona katulia tu,,mara akanambia,shika simu yako uniache mimi niende,Sikumjibu nikaendelea kumshambulia mara akanipa simu mwenyewe huku katulia,nikaipokea nikaiweka mezani,nikaendelea kumshika,mara ooh niache mi sitaki,,,,Nikamvua khanga tupa kule nikakutana chupi nyekundu imekamata zigo fresh huku mashine imeshakasirika vibaya mno inamgusa makalio,,nikamtoa kisinglend chapuu,,akabaki na chupi tu,nikaenda nikafunga mlango fasta,nikarud nikampeleka chumbani,nikamtupia kitandani fasta huku demu jicho nyanya kalegea kama mlenda ulio tiwa karanga,nikaona haina haja ya kumvua chupi huyu,nikaisogeza pembeni nikazamisha mtarimbo,piga show,,piga show,,Saa tano usiku ndo tukamaliza mtanange, nilijipigia vyangu viwili fresh,Saa tano hiyo demu akasepa kwake.

Zilipita kama siku tatu bila mwenzie kumuongelesha,siku ya 4 Nikiwa job nikaona text "Mambo jay,Leo tule nini"? Nikamjibu tule ndizi nyama,siku hiyo hiyo ndo tukapiga show ya kufa mtu mpaka nikalala kwake,

Mahusiano yetu yalienda hivo mpaka demu alivyo olewa na huyu jamaa yake mwezi 12,Ila mwezi huu wakwanza 10 nilimla fresh tu.

Ni hayo tu.
Nimekuonea wivu mwanangu
 
Napita kusoma hizo za ki mzaha mzaha, japo nyingi nilizosoma hazijakidhi vigezo wala viwango.
 
Naona rickboy anajiona mwamba kinouma kuanzisha thread inakimbiza kiasi hiki,popote ulipo kunywa kinywaji jipongeze
 
Trick uliyotumia ni balaa mkuu, I can imagine huyo mdada nae aliwaza nini unamwambia shika na yeye yumo vijana hatari sana nyie...
mzee nilifanya maigizo ya hali ya juu sana....mpaka leo nawaza niliwezaje


nimemcheki hapa huyu manz alishaolewaga na watoto wawil
 
kuna manzi nilikua nakaaa nae nyumba moja miaka kama 6 iliyopita.

alikua ni pini kweli kiukweli nilikua namtamani jinsi ya kumuingia ulikua mtihani....ofcourse tulikua watu wa kusalimiana basi kila mtu na mishe zake...kulikua kuna group la WhatsApp wapangaji wote tulikua mule...nakumbuka kulikua na kikao cha wapangaji siku moja nikatoa udhuru kwenye group kwamba sitaweza kufika naumwa....


yule demu akanifuata inbox kwamba naumwa nn..nikamjibu naona aibu hata kukuambia naumwa ugonjwa ambao hata kuuelezea mtihani akanifosi sana nimwambie(kiukweli sikua naumwa kitu nilikua nazngua tu).
.

ikabd nimwambie nna mwezi uume wangu hausimami hata nifanyaje(nilitunga ugonjwa ili kumzngua) demu akaenda hewani ile napokea nikawa kama nalia...nalalamika sijui nimekumbwa na nini bla bla kibao demu akawa ananionea huruma sana....akasema anatamani anisaidie ila hajui afanyaje akanishauri hospital nikamwambia nimeenda sana lakini hakuna mafanikio....


Story story pale akasema akitoka job atakuja kunichek kwangu heeeee ushetani ukanivamia rasmi nikawa nawaza jinsi ya kumkula...kweli alivyotoka job akaja mpaka gheto.kwangu ilikua usiku kama saa2...ndugu nilijifunika blanketi natetemeka uongo uongo mixer machoz.......daaaah nguvu ya papuchi ni kubwa


basi alinionea sana huruma sana akasema hana jinsi ya kufanya...nikamuomba kitu na yy akakubali kitu bila kujiuliza mara mbili...nikamwambia naomba uishike huenda leo itajitahd kufuction..basi akachukua mkono wake wa kulia akawa anagusa gusa bwana mnaraa huooo kama umeme umerudi....alishtuka na mimi nikajifanya kustuka na kufurahi sana...nikamuomba aendelee kushika huku na yy namshika basi picha linaisha akaliwa kimasihara na mimi mgonjwa...


baada ya kumaliza anauliza ulikua serious au ulikua na mbinu zako huku nalia nikamwambia mama milikua serious na ww ndio umeniokoa..
..sijui kama aliamini

ila picha liliisha hivyo.....


NADHANI HAYA NI MASIHARA


AU NYIE MNASEMAJE NDUGU ZANGU
 
2018 kipindi cha kombe la dunia,kuna siku nimefanya pilika zangu nikaenda gheto kupika ili niwahi kucheki game ya ufaransa bhn,nimemaliza kuandaa msosi nikaenda jogging kidogo mida kama saa 12 hv ,narudi mida ya saa 2 kasoro hv kuna mtaa nakatiza nakuta naitwa oyaaa flani,kugeuka nakutana na binti wa kitaa ni mwanafunzi wa 4m 4 yupo likizo,nakuta kanimind eti wakati napita aliniita alitaka na yeye aend jogging kidogo mie nikabaki nashangaa 2

Basi tukaanza kupiga story tunaelekea njia inayoelekea ghetto kwangu,ile nakaribia gheto nasikia harufu ya nyama inaungulia gheto kumbe wakati naondoka niliacha mboga kwny moto nikapunguza moto kumbe makadilio yangu yalikwenda vibaya,so nikaamaki pale ikabidi niende ndani fasta kuipua mboga mtoto kabaki nje anacheka ile mbaya

So mtoto akaanza kuniulizia unafnyaje sasa nikamwambie hakuna shida nitakaporudi kutoka kucheki game nitafanya utaratibu wa kuchukua mboga nyingine,nikachukua maji nikaenda kuoga Ili nikacheki game chap

Ile narudi kutoka bafuni nikamkuta bado yupo pale nje amekaa,nikaanza kuwaza huyu mtoto kulikoni lakin jamn? hapo wazo la kishetani likanijia rasmi kwenye ubongo wangu aiseee,so nikamwambia karibu ndani akaanza kubisha mara Ohoo we si unaenda kweny mpira? nikamwambia njoo rule basi? anauliza tunakula bila mboga? nikamwambia tunatenga chai fasta 2,ohooo nikakuta mtoto kachoma ndani

Nikaandaa chai pale,nikapakua msosi tukaanza kula nikaanza kumdodosa vimaswali vya hapa na pale like nyumbani upo na nani?nikaambiwa 2po na dada ila yeye ni nurse kaenda kazini night,ko sahizi upo peke yako ? akajibu ndio,baada ya hapo nikajua game ya ufaransa naicheza mwenyew humu ndani aisee

Tumemaliza kula katoto kananiuliza uko kwenye mpira unarudi saa ngp?nikamwambia kwanza nimeghaili nitasikilizia e bony fm cz walikuwa wanarusha yale mashindano,nikaenda kubadilisha station nikakuta tayar mechi imeanza kutangazwa nikamwambia si inasikia?

Baada ya kama nusu saa hv mzee najiandaa kuingiza dushe kw mtot anaanza kuniambia"baby samahani mie sio bikra" hapo moyoni najisemea mie sio jokajeusi natafuta bikra wa kuoa(just joke)

Mtoto alilala gheto na sikuuza mechi kwa kweli cz nilikuwa najua ni student,na shoo ilikuwa y kibabe cz kun mda alikuwa anahisi mie ni msukuma sio kwa pigo zile
 
Kwa wakazi was kinondoni zama zilee watakuwa wana mjua mwanamke bingwa wa kupigwa mtungo akiitwa batambuzi. Kusikia kaliwa na watu 15 kitu cha kawaida tu. Siku moja nashuka njia ya katumba bar Mara huyu nika mnong'oneza anifuate nikapiga kama hatua kumi naona MTU yuko nyuma lilikua mida ya SAA NNE. Nikazama kwenye kiosks huku akiniona hapo mbalamwezi
 
Ngoja tuendeleze uziii ..........

Back in days tupo katika chuo pendwa pande fulani mjini Dar , ulikuwa msimu fulani mvua inapiga vibaya mno sasa mbishi nilikuwa naishi bibo , naangalia muda , simu yangu inaniambia ni saa nane na nusu mchana afu saa kumi ninakipindi Yombo 5 , mbishi fasta nikaoga vaa kishikaji tuu huyoo ndani ya shato ( hizi ni gari aina ya coaster zinapiga root mabibo hostel - chuo main campus ) huko nje mvua kama kawa inafanya yake mbishi sina mwamvuli wala nini , kila kitu kitaafaamika mbele kwa mbele .

Pap watu utawala wakashuka , Darajani (kituo kilichokuwa kinafuata baada ya utawala ) , hapa tukashuka kundi la watu remember mvua inanyesha haijaacha hata kidogo, fasta namuona sister duu mrembo kafungua mwamvuli huyo taratibu anaelekea uelekeo nao elekea bila kuvunga nikaomba lift ( huu mchezo maarufu sana yale maeneo hasa kipindi cha mvua ) bila hiyana mrembo akaniruhusu nimsogelee ili tujifunike wote basi bwana asikwambie mtu mtoto alikuwa mzuri ananukia vibaya mno na kanoga achaaa , basi

Mbishi : mambo vipi ?
Mrembo : poa
Mbishi : unaitwa nani ?, ( in this case lets call her kimnana )
Mrembo : kimnana
Mbishi : umependeza
mrembo : asante
Mbisha : unasoma course gani ?
Mrembo : B .com in Accounting, weww unasoma couse gani ?
Mbishi ; bila kupepesa macho BA in Economics , wakuu hapa nilidanganya maana course niliyokuwa nasoma ni B .A Education lkn kama ningemwambia ukweli niliaminika kabisa asingekuwa interested na mimi kabisaa of course yes , i had to lie to her . waliopita yale maeneo wanaelewa jinsi ilivyokazi kwa mwalimu kumnasa mtoto wa UDBS


Basi baadaya ya hapo story mbili tatu tushafika yombo 4 ( hii ni lecture room ) basi mimi natakiwa niingie yombo 5 , palepale bila kulemba nikaomba namba mtoto bila hiyana kanipa , fyaaaa fasta nikapotea

Hii ilikuwa siku ya alhamisi , usiku nikamtext mrembo na kujitambulisha tena mtoto akaonekana kafurahi sana kuiona text yangu , basi siku ikapita then ijumaa jioni hii hapa , kama kamaida nikamcheki tena story mbili tatu mtoto full kujifanya wakishua na mimi bila kukosea full kuigiza vingereza kaaa vyotee . mwisho nika muuliza, j mosi atarudi nyumbani? akaniambia yeye yupo tu lkn mara nyingi huwa anakuwa very bored weekend maana huwa hana sehemu za kwenda ukizingatia yeye mgeni hapa jijini , pale pale nikamuliza vipi nawaeza nikakuchukua tukatembee beach kidogo ? , mtoto wowwwww beach ? I like going there , i cnt wait to go their with you .

Moyoni nikajisemea mungu wangu mi mwenyewe mgeni hata njia ya kunifikisha huko nshaisahau maskini ya mungu coz nilienda kitambo nikiwa mwaka wa kwanza , ila nikajikaza nisimuoneshe kuwa hata mimi wale wale , nikajibu alright let me take you there tomorrow , atleast we can refrest just a little bit, you dont wanna stay here in this hostel alone the whole weekend , right ?. bila kupoteza muda nikampigia simu mshikaji wangu fulani yeye ni mtoto wa mjini jiji lote lake sehemu gani uizungumzie asiijue ? Fasta akanielekeza gari za kupanda mbaka kituo cha kushukia , basi kutoka kwenye kituo mbaka coco beach pale haikuwa tabu sana maana ningeweza kupakumbuka tu vzr

Basi weekend ikafika mtoto kweli kajitupia anapendaza , mbishi kama kawaida licha kuwa ni teacher ( hapo mtoto hajui kumbuka hilo ) lkn aahhhh si haba na mimi nilikuwa nikiamua unaweza hisi mnyama jux kibongo bongo au mnyama fabulous pale kwa biden mbishi nikaongeza na kilinda mfuko kidogo ili nisije tia aibu na hivi loan board waliniwezesha basi nilikuwa mtamu asikwambie mtu , full kuvimba utaniambia nini bwana ? basi bwana hao mbaka macho hatua kadhaaa bahari ile pale tushatimba coco beach watu kaa wote , japokuwa na mimi nilikuwa mshamba fulani lakini niligundua kuwa mwenzangu alikuwa amenipita maana baadaya kufika pale hata kuingia tu kidogo kwenye maji alikuwa anaogopa , alipo jaribu kidogo kuingia wimbi lilipokuwa linakuja alitimua mbio bila kujali kuwa watu wanamuona . basi tulizunguka huku na kule chukua picha za hapa na pale( ingawa nyingi zilitoka kaa zimeungua hivi , sijui pana nini pale ) mbaka mida kaa ya saa kumi na moja na nusu hivi tulipokubaliana turudi sasa .

Kasheshe likaja bwana tulipofika pale kituoni ilituchukue daladala turudi zetu mabibo hostel , watu walikuwa wamejaaa pale vibaya mno gari ni za kugombania, kama msuli wako mdogo kupata gari hutoweza lakini pia kumbuka hapo mwanzo tulisha jifanya wakishua mimi na yeye hivyo ni wazi kabisa ile karaha tukajifanya hatuwezi kugombania gari , sasa tunafanyaje ? pale pale akili ya fasta ikaja , nikamwambia kwanini tusilale zetu tu huku huku ukizingatia kesho ni J. Pili Hakuna shule , mwanzoni mtoto akajifanya anapinga pinga ila kadri muda ulivyosogea na matumaini ya kupata gari kupotea akakubali tutafute sehemu nzuri tutulie , moyoni nikasema yapu point 3,muhimu nishazichukua .

Fasta fasta tukapata lodge fln hivi , hapo hatujala Nikamuuliza nikuletee nnn kama kawaida yao chipsi mayai , mbishi huyoo nikafika sehemu naona kuna mama ntilie pale basi nakaagiza ugali maharage wa buku plus mbga za majani za hapa na pale nikajishindilia vzr then nikamfungia chipsi mayai plus soda huyo nikarudi hapo ishafika saa tatu usiku kala kamaliza .


Ananza kuniletea mambo yake , you know i'm not your girlfriend so we can not sleep together , beside i have someone , hapo hata viingereza vyake sivielewi tena ila mimi nimetulia nampigia hesabu nifanyaje ili niweze kumrumbua huyu usiku huu. Basi nikajifanya na mimi gentleman sina time naye wale sishtuki na alichosema nipo bize nachezea simu nikamwambia usiwe na wasiwasi hakuna chochote kitakachotokea usiku huu . mara huyo kapunguza baadhi ya nguo kabaki na sidilia then chini tight tu taa wala hajazima ( ana leta uzungu kasahau around blacks never relax ) , moyoni nikasema huyu ananijaribu subili, mbishi wala sionishi kushtuka kaja kalala na mimi nikajifanya kulala lakini moyoni nawaza naliazisha vipi hapa , kitu alichojichanganya tumelala hivi kaniachia msabwanda wote nagusa haaa !! wala hanizuiii nikaanz nikamchezea weee tambaza mikono mwili mzima kaa chatu naona mtu anahemu kwa tabu pitisha mkono kule kwa bibi naona tayari pamekuwa wetland , nikajua tu tayari nikasaula mtu ananiangalia tu mwisho wa siku nikajilia vyangu bila hata kutongoza . asubuhi ananiletea tena viingereza vyake , muda huu wala siku msikiliza nikarumbua tena morning glory mbili . then mikakati ya kurudi ikaanza


Baada ya hapo tukawa kaa wapenzi lakini tulikuja kuachana baada ya yeye kuujua ukweli kuhusu mimi , maana pale chuo walimu wote wanapofika mwaka wa pili lazima wasome somo moja hivi linaitwa C T200 ( media ) sasa hili somo ukisoma mwishoni lazima ubuni kitu kinaitwa teaching aid ( kwa ajili ya kufundishia wanafunzi ), teaching aid yko inaweza kuwa mlima kwa wale wa geography , etc sasa bwana ilikuwa ni siku ya kwenda kuzielezea teaching aid zetu mbele ya madoctor nipo na kundi langu tumebeba teaching aid kubwaaaa asikwambie mtu ili tupate marks nzuri kumbe bwana baby yupo juu ya ghorofa pale yombo 5( anasubili pindi ) ananiona navyo angaika na mzigo ule tumetokea pande za changanyikeni kule , na ule wakati pale chuoni ilikuwa ukimuona mtu yoyote anaangaika na yale madude basi moja kwa moja unajua huyu ni mwalimu,

Basi nisikia text imeingia kucheki baby , kufungua niisome nakumbana na swali , " khaaa kumbe wewe ni mwalimu ? " sikujibu haraka haraka nikasubilia nimalizane mambo ya kutafura,marks kwanza then jioni nikampigia ili nimpange na upya mtoto asije akapeperuka coz alisha amini mi napiga mauchumi pale , napiga simu mtoto hataki kupokea , wala mesegi zangu hajibu , jaribu kupiga tena olaaa tuma text whatsup nakuta nilishachezea block kitambo , nikijesemea potelea mbali na huo ndyo ukawa mwisho wetu.
 
Back
Top Bottom