Duuh..ukiskia shetani yupo kazini ndo huyu sasa...
 

Ebana lucifer tuache kwanza aisee
 
***** zako nimecheka sana, yaani kama movie vile
 
Aisee
 
mkuu ukileta kisa cha huyo binti wa secta ya afya naomba nitag!!!
 

Duuu, dunia ina mambo hii ngoja nika kimya, duuuu
 
Huu uzi na ule mwingine unaupitia mstari kwa mstari, Yan Hutaki hata neno moja likosewe

Yes ninakereka sana nikikuta fanani kaandik hovyo hovyo sasa sisi hadhira tufanye nini?

Hizi nyuzi zinafurahisha sana


Kama umeona ninafuatilia sana maana yake na wewe una fuatilia nahisi kuna kitu kinatuunganisha hivi[emoji848][emoji848][emoji848]
 

Mabahariaz msikubali. Huyu jamaa amekuja kuwafunga break. Endeleeni kula Nyabe kimasihara.
 
Hivi mkuu hizi dawa madhara yake huwa ni yapi asee!?
Kuna uzi humu JF member waliowahi kumeza PEP wanaelezea adha ya hizi dawa, kwa uchace unachoka mwili mzima, kichefuchefu ili kubwa ya yote ni ndoto mbaya, madaktari huwa wanashauri uzimeze wakati wa kulala lakini mkuu ile umejiegesha tu kitandani yaani waakati bado unsikia redio ya jirani ndoto mbaya zinaanza, unaota unagongwa na tren pwaa...kichwa kinaacha kiwiliwili, alafu kichwa chako kinadumbukia kwenye dimbwi la maji taka, unasikia maji yanakuingia kwenye mdomo pua na masikio huku kiwiliwili ulichokiacha upande wa pili kinatapatapa kwa maumivu...dah! unaamka unatamani usilale tena, au unaota unatupwa kutoka ghorfa ya 10 na unaangukia chini na kila kiungo kinasambaa....mara pumzi zinakata...acha kabisa.
Nimewahi kuhudumia kliniki za waathirika wa HIV, mama mmoja alilia mbele yangu akasema kama hakuna dawa mbadala wa hizi mimi naziacha nakufa! Eti tumefundishwa kutoa ushauri blah! blah! hizi za kibongo....niliomba kuacha kuhudumia kitengo hicho maana nilijiona ni sehemu ya watesaji!

Ila hii ni ndani ya wiki kama 2 za mwazo baada ya hapo inakuwa kama unameza panadol tu!
 
Kuna boya flan nilikuta msg anamtongoza Mke wangu nikamchana live mbele ya mkewe ugomvi wao ikawa faida kwangu

Mkewe akanicheki kma wiki mbele akanambia ana maongezi na Mimi tukapanga location

Nikamwita eneo lenye guest na bar tunanunua maji anza story km lisaa nikamgusia Shem kwan kilev hutumiagi akajbu natumia.

Akabidi nimwambie sasa hapa nje pombe kabla ya sakumi hawaruhusu mana ilikua katkat ya wiki baana Eeh kama masiara tukazama ndani ili tukanywe bia,kama masaa3 ndani gest ni story tu.

Baada ya mda naona kaenda kuoga bafun katoka uchi mlokole mie nikasema nifanyaje tena ibilisi keshaniingia nikajilia mzigo safff KBS

Mpaka Leo nikiitaji napiga simu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…