Huyo analika kirahisi tena bila kufika huko viwanja, wewe ndio mzito. Chakufanya mwambie unamtoto yupo huko kwenu au muambie hapo kwako unaishi na mdogo wako wataalam watakuwa wamenielewa.
 
Hivi DAS wa kisarawee hayupo humu au anatubania tu?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unautan na Das wetu....ila jaman KIDOTI yupo cute jamn yule mtoto..kuna siku nilienda pale ofisin kwake aiseee da...she is very charming and presentable na utani mwngiii...ningekuwa mkubwa mkubwa kdg hata mm lazma ningeanguka pale
 
Pale jamaa kaharibu kazii... Kafukuzwa na kuhamishwaa mkoaa..!! Sema kama wanapendana mzee ni kazii sanaa mzew baba atakuja kumfukuza na kidotii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi DAS wa kisarawee hayupo humu au anatubania tu?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

yupo

na uzi alichangia kiaina...

sema tu alibugi kupiga picha na kizibiti na kuanza kuleta mambo ya Bombay kwa mali ya watu

baadaye ataleta mrejesho jinsi kula Tunda kimasihara kulivyom-cost;kutoka kuwa bosi hadi mtoza ushuru sokoni
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]analeta mahaba mpaka mbele ya mwenye malii
yupo

na uzi alichangia kiaina...

sema tu alibugi kupiga picha na kizibiti na kuanza kuleta mambo ya Bombay kwa mali ya watu

baadaye ataleta mrejesho jinsi kula kimasihara kulivyom-cost;kutoka kuwa bosi hadi mtoza ushuru sokoni
 
"napenda sana kuongea pumba [emoji28] nadhan nikwasababu ya kaz ninayo fanya" ! Vipi unafanya kazi ya UKONDA?
 
Anasikia nini 🤔

Ulidinya mpaka stage ya mwisho....
 
Hahahaaaa kaondokaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…