Naona wahuni wanajitahidi sana kutilirika. inapendeza sana. Huo ndo ujasiri tunao utaka mwanawane.

Anyway hata mimi nina ka stori kidogo. Ime tokea wiki mbili kabla ya Ramadhani hii 2020. Kuna dem mmoja alikuwa ana nihusudu sana huku kwenye Social media lakini sio Jf [emoji23][emoji23][emoji23]. Huku unaweza tekwa chawa wengi.

Sasa bana siku hiyo kulikuwa mvua toka asubuhi na ilikuwa Jumamosi. Basi bana nikachukua simu na kuachana kupitia timeline yangu na kuona picha za warembo nini.

Nikapita kukoment picha ya mrembo mmoja mkali. Mara pap demu akareply, " kumbe na wewe unacoment picha za watu". Nikaona usinitanie nika mfuata Dm chap kwa haraka. Tukaanza kuchat nakumbuka mida hiyo ni kama saa 3 asubuhi na kimvua kina piga balaa.

Huyu manzi bana nika muuliza unafanya nn mda huu. Kanambia bado amelala. Akili za dhambi zikaja chap kwa haraka. Nika mtingisha kidogo akajaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nikatuma nauli buku 5 chap maana hapo demu karusha namba tayari. Ile niaje niaje kama saa 6 hivi ana niuliza niko wapi. [emoji86][emoji86]. Sikuamini kwanza maana ni kama masihara.

Nikawahi bafuni chap. Kujiandaa nimfuate. Natokea home so sina ghetto . Kwa wakazi wa mbagala wanapajua zakiem. So nikamwambia demu anasubiri hapo. Demu nilimchomesha maindi sana mpaka aka nambia anataka kusepa. Kanyeshwe sana na mvua lakini nika mbembeleza sana anisubiri.

Nikapanda zangu daladala zakiem hii apa. Nampigia demu mara haipatiki mara inakata mara kapokea [emoji38][emoji38][emoji38]. Dem yupo Rangi 3 kaenda nunua samaki.

Basi nikamwambia nilipo huku nashauku ya kumuona. Ikachukua kama dakika 20 hivi demu akaja. Kwanza sikuamini. Nikawa na dreva bajaji tunabonga lodge gani ya karibu kwenda kunyandua. Ile tunaongea nikaona mtoto mkali anapita bwana. Kumbe ni yeye. Aisee ile siku sito isahau demu ni mrefu, shape namba nane. Alafu ni mpemba flani hivi. Ana nywele ndefu mpaka mgongoni alafu rangi maji ya kunde. Tako lipo litakosaje. [emoji39][emoji39].

Tukapanda bajaji mpaka lodge. Tukazama mpaka ndani. Ile tumeingia ndani namuangalia demu siamini kama ni yeye. Nilipiga show moja kali. Toka saa 9 mpaka 1 usiku . Hiyo sito sahau. Ni raha wewe kula mtoto mzuri. Sio hzi pussy zinazo nuka. By the way nilipiga kavu [emoji85][emoji85] lakini kabla ya yote nilimfumia vipimo vya HIV test na yeye akatuma wote tulipima recent so haikuwa issue but tulienda pima tena tare 7/4.
Nilikuja piga tena show mtoto alinielewa sana sema siku alichukua simu akakutana na message za machick wengine ndo ikawa tatizo.

Yaani muungano wa tz na znz mpaka sasa unaenda miaka 60 huja kula manzi hata moja ya kisiwani [emoji23][emoji23][emoji23]. Nasema hivi huo muungano hauja kusaidia kitu.

Huyo demu mpaka leo namkumbuka nilimpenda kweli sema nini mademu wazuri wengi wana dharau so kila mmoja ana 50 zake.
Imeisha hiyo. Mahusiano ya kama 3 tu na yakafa mazima. [emoji2957][emoji2957][emoji2957].

Baba Ako
 
na kweli, nashukuru kwenye kahistoria kangu japo ni mmoja tu kutoka visiwani ila muungano nimeudumisha

aim for the stars
 
Huu uzi hauingii hata top 50 ya nyuzi bora za muda wote JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaf labda kipind anakutana naye alikua masomo kwa vitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu kwa kutuwakilisha vema sisi watanganyika dhidi ya wanzanzibari.


Kwa hiyo mkuu ukavunja muungano weytu adhimu kwa sababu ya side chicks?? Dah


komesha korona
 
Haya mambo ya kula kimasihara, me sijui nilikula au nililiwa maana katika kipindi kifupi sana tu tukalana.
Tapsa rise!!

Ilikuwaje mtaaalam?? Tupe japo inbrief bwana jinsi ulivyo kula kimasikhara

komesha korona
 
Point :Ili ule kimasihara lazima ujue dini ya huyo demu maana Kuna wenye misimamo .

Hii huwa naitumia sana nikikutana na Aisha ,hadija au Leyla. Huwa jina langu nalibadili hapo hapo[emoji3]yaani najikuta jabir, au Abdul [emoji1787][emoji1787]

Na wewe kama Ni Hassan au juma unaweza kuwa Humphrey au John[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu kwa kutuwakilisha vema sisi watanganyika dhidi ya wanzanzibari.


Kwa hiyo mkuu ukavunja muungano weytu adhimu kwa sababu ya side chicks?? Dah


komesha korona
Tatizo alitaka kuwa main bae wakati kuna ambaye tayari ninae. Hapo ndo tulipo shindwana ika angekuwa mpole ninge zama kwenye penzi lake mazima.

Baba Ako
 
Kwenye mazuri sisi wajumbe huwa tunasema tu. Lugumya umetisha mzee baba, usimuliaji mzuri aisee yan unasoma huku unaenjoy, hongera ila shangazi mkuda alikupokonya tonge mdomon.

Sent using Jamii Forums mobile app
@yellow eyes huyo mtoto wallah nilikuwa tayari kuacha kusadiki katika kanisa kuu katoliki la Mitume. Shangazi anakiharibia, haikuwa riziki Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…