Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ndo maana kumbe umejiunga jana.
Naogopa anaweza akawepo humu....
Kiukweli wangu yumo hum lakini natiririkaga mpaka ananifata pm kunituliza mnkar.
Screenshot_20200526-111640.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka juzi hapo Morogoro.

Nilikuwa kwa kaka yangu na yale maeneo kila mtu yupo ndani ya gate lake, Jpili moja tunaenda Church nikamuona mwanaume mmoja hivi ana makengeza na mwili mazuri sana.

Nilikuwa na watoto Wa kaka yangu, wakamsalimia na mm nikatoa salamu zangu kwake, ila moyoni nilimtamani pale pale maana hadi church nilikosa umakini kwa kumuwazia yeye.

Jioni yake mtoto Wa kaka yangu akaniletea hesabu za nursery nimfundishe maana kana miaka mitatu, kumbe kazitoa kwa yule Kaka na kuna namba ya simu imeandikwa.

Nilimtext kisha kujitambulisha, akasema nakuonaga unapita sana hapa, sikuwa na hiyana maana nilikuwa nataka kutest zari tu. Maana kadiri tulivyokuwa kunachat nilizidi kumtamani sana.

Kesho yake aliniita nikaenda pale, na kukuta kashachukua chumba tayari na kupigwa show moja matata kabisa. ( ukweli jamaa anajua sana mapenzi na namsifia sana maana sijawahi ona)

Kule aliniambia yeye ni lecturer chuo kimoja hapo Moro, na niliogopa maana nilihisi ana HIV, akanisii sasa nisiogope na tulipima pale pale na kukuta sote tupo safi.

Jamaa alikuja sana mkoani nilipo mara nyingi sana, maana niliishi mkoa ambao kuna chuo na ni lazima angekuja maana alikuwa ana vipindi vya kufundisha hapo chuoni.
 
Aicee kuna watu wanakuaga na bahati sana...yan jamaa hajaangaika hata kukutongoza....ni mwendo wakuchukua room na kupga shoo dah[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom