Joto la mapenzi haliwezi kumuacha virus wa covid salama. Cha kuzingatia zima AC/Feni kama ipo. Jitume shughulika kama hutashughulika tena!!!! chemsha mwili, acha uvivu..... team magogo mpooo
Daah!, Umenivunja mbavu kijana. Amaa kweli, jamiiforum ni sehemu nzuri sana ya kutibu msongo wa mawazo.
 
Joto la mapenzi haliwezi kumuacha virus wa covid salama. Cha kuzingatia zima AC/Feni kama ipo. Jitume shughulika kama hutashughulika tena!!!! chemsha mwili, acha uvivu..... team magogo mpooo
😀😀😀...
Bila shaka wachina walifanya hivyo...
 
Duuh!!!!. Mbona hukunikumbusha jana. Yaani jana tu nimetoka kwenye bonge la shoo . Yaani shoo ilikuwa kali sijawahi . Nashauri watu ambao hawajawahi kula vya Bukoba wavitafute waonje, yaani ni raha kwa kwenda mbele. Mnaweza kesha masaa 12-24 mnageuzana tu na kubadilisha mashuka
 
Umesahau STYLE iwe CHUMA MBOGA tu. Maximum bao 2
 
Ndio maana yake mzee, nilikua na boksa na Kwa ndani nimevaa zana tayari kwa lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa kiogozi
Me huyu dogo nimemkubali, atakuwa mwongo mwongo sana mwandiko wake unaonyesha ni mtu ukimpa nafasi ya kujieleza anakumaliza


Sent from my iPhone using JamiiForums

komesha korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…