Iko hivi, nipo zangu kwenye kikao cha harusi hotel Fulani, mara mke wa mtu (namfahamu sana ) kanitext na kuniita jina la kike ( nina assume alikosea namba ). Sikua na namba zake, nikaona nilicheki jina lake kwa m-pesa, nikamfahamu, nikamchunia sikumjibu, baadae akaandika tena, "Jenny jamani…!" nikamuuliza, unasemaje? Akaanza ooh sijui shemeji yupo mara ivo hata haeleweki; nikamwambia, sorry me ni mumewe na Jenny (Jenny ni jina la kutunga) nikamwambia, "shemeji njoo sehemu Fulani tusalimiane vizuri, ni hapo hotelini, Panda boda nitalipa" mara paap, haka hapa kamefika, kalivyo fika kakawa kanishangaa kama ni mimi wakati kalitegemea kumkuta mume wa Jenny (huyo Jenny wala simfahamu ). Nikamwita muhudumu, nakakauliza kanataka kinywagi gani, nikalipa, then muhudumu alivyo kuja na kinywaji nikamwambia atutafutie chumba, tutaenda kunywea huko huko; kakawa kama hakataki hivi, nikachukua hand bag yake hadi chumbani huku nakavuta mkono. Nikala mzigo kimasihara masihara hivyo. Ukweli alaaniwe huyu jamaa aliyeanzisha hu UZI!
 
Acha ujinga bob. Uzi umeanza kutulia baada ya kamba zako kuisha sasa unakuja kuuharibu tena..
Jitambue mze3
 
Hii chai haina tofauti na kamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai ya rangi

***1118***
 
Mkuu naomba urudie upya hatua kwa hatua yaan mchakato wote mpk huyo mama unamchakata ilikuwaje!!

Typed Using KIDOLE
 
Mkuu naomba urudie upya hatua kwa hatua yaan mchakato wote mpk huyo mama unamchakata ilikuwaje!!

Typed Using KIDOLE
Maza ni mtu wa kusafiri sana, mzee aliwahi kunifunza kitu huu nao uzi wake, ntakuja nilimdanganya akaingia line, sema nilibugi kwenye ndege akaja kujua baadae, muhuni hata kitabu sina
 
Mapenz mapenz aiseee nimepata hisia zamapenz sio hisia zangono.

Mkuu nahis mapenz yenu yalikuwa nafuraha sanaaaa naamani ila DINI aiseeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best story of the month bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa usha changanywa unataka utangaze ndoa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni story nzuri sana. Partner aliolewa sasa? Wewe je umeoa? Ungejilipua tu ukamuoa for as long as kulikuwa na penzi la kweli kati yenu.
 
b
Broo hii ni chai
 
Hongera sana likini omba MD asijue kazi utakosa na utalazimika kuoa mke wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni story nzuri sana. Partner aliolewa sasa? Wewe je umeoa? Ungejilipua tu ukamuoa for as long as kulikuwa na penzi la kweli kati yenu.
Sijaoa bado, ila yeye aliolewa mwaka juzi. Nilijilipua kipindi flan ila baba yake (ni kiongozi mkubwa serikalini) alinikalia kooni pamoja na kuwa na sababu ya kuwa pamoja (mtoto). Nilimtorosha ila niliishi maisha ya mashaka mno, wakaja kumdaka alipoenda kununua matumizi ya ndani pale ferry! From there tunakutanishwa kwa ajili ya mtoto tu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…