Kwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..

Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??

Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??

Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)

Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..

Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....

Nawasilisha... By caglar soyuncu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Au labda mzee baba umechanganya huenda alikua sio nesi ni wale wahudumu wengine tu wanaokuaga hospitalini kama maeneo ya CAFETERIA na wanahusika na Usaf.. Apo naweza kukuelewa lakin nurse kabisa kaajiliwa then umri wake 19 miaka.. Aaah apo natia shaka mifumo yetu ya elimu inajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumaliza form four miaka 16 ni kawaida kabisa. Watoto wengi wa kike wanaanza shule wakiwa na miaka 5. Unafikiri form four atamaliza akiwa na miaka mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha kitambo sanaa, Sister alinitumia kusabotage plan ya mhun kwa style hiyo kuepuka kuliwa kimasihara, kipindi hiko chalii sijui chochote ila sahiv namuheshim sana sister ni mtu mzima na nadhan amesahau hata hilo tukio ila mwamba Files za tangu nna miaka mi3 ziko intact kichwan.☺
 
Umeniwahi
 

Assalam!
Ngoja nikujibu kama ifuatavyo.
1. Hakuna mahali nilisema alikuwa "kazini". Wakati huo alikuwa kwenye mafunzo ya vitendo. Huwa hatuandiki kila kitu kwenye stori hizi kwa kuwa zinahusisha watu hivyo tunajitahidi kuwa discreet.

2. Hakuna mahali nimesema alikuwa nesi wa ngazi ya Bachelor degree. Hawa manesi kwenye hizi hospital zetu hawajapita kwenye mlolongo wa kufika chuo kikuu. Huyu hana degree of nursing ( Ana certificate tu) sijui kama aliipata Ndanda ama Msimbazi Centre.
3. Umetaja habari ya kutokwenda JKT - miaka ya hili tukio mpango wa kwenda JKT hata haukuwepo/ilikuwa haijarudishwa kisheria.
4. Umesema labda "nimewadanganya". Niwadanganye ili iweje? Ulitaka niweke na picha yake hapa au na cheti chake cha kuzaliwa? Niwekee na lodge tuliyolala? Niweke jina la mkuu wa mkoa wa wakati huo?

Nikushauri tu; kwenye haya majukwaa lengo ni ku-share experience na kufurahi. Ukijiweka hapa Kama muamuzi wa story ya kweli na uongo utapata tabu ya kiakili na mawazo.
Shukrani.
 
Umeandika sana ila ulichoandika ni "imaginations" zako tu ambazo hazina "logic".
Mtoa stori hajasema kama binti alikuwa na degree! Kwani manesi kwenye hospital zetu wote wana degree au diploma?
Kwanini uwaze Bachelor degree na sio diploma au certificate?

 

Jibu mahsusi!
Nimependa namna ulivyojibu kwa ustaha!
Hoja za jamaa zimetepeta kabisa.
 
Wewe ndio uliliwa kimasihara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi mkuu wengi wapo kwa ajili ya kukosoa ndo maana na visa vipya hakuna mpaka tunajikuta tuna mmiss Mikito Mikito
 
Safi sana
Kuna watu kazi yao ni kukosoa
Hawajui humu tunajificha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…